Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

Mnataka mumuuzie hisa na mshaingia pre contract halafu mnaingia mkataba na mdhamini ,vipi kama mkataba una pesa mbuzi ,yeye kama shareholder mwakani si ataumia kuona mkataba una maslahi madogo

800M kwa mwaka huenda angeshirikishwa angetia pressure 1.5 Billion kwa mwaka
 
Duuuuu, mm n cmba damu imeniuma sn. Tayari tumepotea.
 
Kwa jicho la kisheria huo mkataba unaweza ukawa ni batili ...au kisheria wanasema void contract..... kwa kawaida mikataba ya vilabu vya michezo inatakiwa kusainiwa na Bodi ya Wadhamini lakini mkataba ule ulisainiwa na Aveva ambaye kisheria hana nguvu ya kufanya hivyo.....Kwa Muundo na sheria inayosimamia Timu zetu hizi pendwa Bodi ya Wadhamini ndiyo walipaswa kusaini huo mkataba na siyo vinginevyo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…