Ruto aoomba kukaa na upinzani kutengeneza serikali ya umoja

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
WAKUU habarini za jion

Naangalia itv hapa naona habari njema

MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA

Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE

Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU

Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate

Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
 
Serikali ya umoja wa kitaifa pia inahitajika hapa Tanzania Bara.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Hahahaa alisema mkate hataki

Sasa kawawekea na asali na kamati

Loh

SIASA hizi
 
Jamaa kashtuka kachanganyikiwa BAADA ya kusikia kashagwa anaungana na baadhi ya vyama loh
 
WAKUU habarini za jion

Naangalia itv hapa naona habari njema

MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA

Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE

Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU

Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate

Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Wakenya mambo yao ya ajabu ajabu sana
 
Watu wote wenye akili duniani, huzungumza na wakosoaji wakiwa wachache, kabla hawajawa wengi, maana wakiwa wengi huwezi kuwadhibiti hata kwa kumwaga damu,maana ni wengi.
Hapa kwetu wakina Lisu wanapuzwa na kubezwa,laakini kama watawala wangekuwa japo kidogo na akili kama punja ya haradili basi wangewaita wakasikiliza hoja zao mezani wangali wakiwa wachache, wakiwa wengi wanaolalamika hutaweza kuuwabyamazisha hata kwa kuwaua.
Ccm,ccm ccm msimsikilize yule mzee wa karne ya 18 hajui tupo 2025
 
Hapa kwetu kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
 
Watu wote wenye akili duniani, huzungumza na wakosoaji wakiwa wachache, kabla hawajawa wengi, maana wakiwa wengi huwezi kuwadhibiti hata kwa kumwaga damu,maana ni wengi.
Hapa kwetu wakina Lisu wanapuzwa na kubezwa,laakini kama watawala wangekuwa japo kidogo na akili kama punja ya haradili basi wangewaita wakasikiliza hoja zao mezani wangali wakiwa wachache, wakiwa wengi wanaolalamika hutaweza kuuwabyamazisha hata kwa kuwaua.
Ccm,ccm ccm msimsikilize yule mzee wa karne ya 18 hajui tupo 2025
Kama chama chao wanalogana vile wakiingizwa serikalini si tutamalizana mkuu

Wabaki tu hukoohukoo pale WAPIGA Dili wengi
 
Hiyo mpumbavu nchi ilishamshinda Toka siku ya Kwanza,wakenya wanamvumilia Tu ifike 2027 akanyagishwe fremu
 
SIASA mchezo machafu sana sanaa

Dah MH aliapa hakuna mkate Tena Wala kugaiana vyeoooo

Leo amekutana na mwamba
.baba RAILA amesema wamekubaliana kuunda serikali ya UMOJA kabla ya April

Hii inaitwaje wale Wana sayansi na principle zenu
 
WAKUU habarini za jion

Naangalia itv hapa naona habari njema

MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA

Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE

Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU

Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate

Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Sikuhizinaonaumejifunzakuandikavizuri😁😁😁
 
So mambo ya share holders hayapo tena. Watu ya murima watapata tabu sana.
 
WAKUU habarini za jion

Naangalia itv hapa naona habari njema

MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA

Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE

Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia BAADA ya kufeli zoezi la kumiliki AU

Baba RAILA nasikilizia list yakoo najua ujawahi KUSHINDWA hahahaa RUTTO alisema hakuna mambo ya mkate

Leo kala maneno yake mwenyewe kazi kwelikweli SIASA hizi
Wakenya Wana akili Sana Sana, Sisi Huku akili zetu ni uchawa Tu na unafiki. Kabudi ni profesa ila Hana msaada wowote ule kama alivyo kitia
 
Yani ya ajabu kupita maelezo. Miaka miwili nyuma Ruto na Raila walikuwa wanatukanana kabisa maadui eti leo marafiki. Ila Ruto Mungu atamlipa kwa kumsaliti GACHAGUA time will tell.
Mungu atawavuruga wale utaniambia

Kaona kuna vyama vimesema vitaungana na gashagwa HATA kama hana uwezo WA kugonbea watakaenpitisha kwenye UMOJA

Kanusaa mmmh
 
Back
Top Bottom