Mkazi: Siondoki Bonde la Msimbazi bila fidia ya angalau bilioni moja

Mkazi: Siondoki Bonde la Msimbazi bila fidia ya angalau bilioni moja

Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokubwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda.

Kijana mmoja amesema hawezi kuondoka kwake kwa fidia iliyotajwa huku mwingine akisema wameambiwa hakuna sheria inayomlazimisha Rais kulipa fidia bali ni huruma ya Rais.

Serikali ilipokea bilioni 463 kwa ajili ya mradi wa bonde la mto Msimbazi ikiwemo ujenzi wa daraja na kuboresha matumizi ya ardhi katika bonde hilo, nusu zikiwa msaada na nusu mkopo.

Kati ya hizo 463b, 100 ni za wakubwa. Na nusu ya mkopo ni ya wenye nchi. Ujinga
 
Asipoondoka mafuriko yatamwondoa , ashukuru kama atapata hiyo fidia hata ya mil 4.
 
Ataondoka hata kwa makofi hatuwezi kulea upumbavuv
 
Wewe ni mpumbavu mmoja.

Mwananchi anaelimishwa na siyo kunyanyaswa ndani ya nchi yake
Mpumbavu ni wewe hapo kima mkubwa.

Aelimishwe kitu gani hajui kwamba anaishi eneo lisiroruhusiwa? Toka awamu ya JK waliambiwa wahame wanagoma,waliopewa Hadi viwanja Mabwepande wakauza.

Eti Elimu,angekuwa Mwendazake hata jero asingewapa boya wewe.
 
Nchi yake au nchi yetu?

Kuhama kwake hapo ni kwa maslahi ya umma
Wewe unaathirika nini asipohama? Yupo hapo kwa sababu viongozi wapuuzi wametumia madaraka yao kuwaweka hapo.

Wanastahili kuelimishwa kwanza kisha taratibu zingine kufuata.

Vumbapu kabisa
 
Mpumbavu ni wewe hapo kima mkubwa.

Aelimishwe kitu gani hajui kwamba anaishi eneo lisiroruhusiwa? Toka awamu ya JK waliambiwa wahame wanagoma,waliopewa Hadi viwanja Mabwepande wakauza.

Eti Elimu,angekuwa Mwendazake hata jero asingewapa boya wewe.
Kaangalia hati zake za umiliki ndugu kimbwenelehi.

Mmezoea kuonea raia. Pale mtakaangwa
 
Fredwash ona hapa, nakumbuka vizuri kabisa hili tukio.

Nifah, dah kwa hiyo mabati na cement waliuza na viwanja wakauza... na sasa hv wanapewa pesa wanataka B moja... hwataki kutoka mjini ili hali hawana biashara ya msingi.. enz za magufuli hawa huo msaada ungesitishwa na wakaondolewa.. binadam mtu wa ajabu sana...
 
Usiombe upange chumba kwa huyo jamaa anaetaka bilion moja kila mwisho wa mwezi anakusubiri mlangoni kudai hela ya kodi au umeme hawanaga kazi ya kufanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom