Waelimishwe au wapewe taarifa?Wewe unaathirika nini asipohama? Yupo hapo kwa sababu viongozi wapuuzi wametumia madaraka yao kuwaweka hapo.
Wanastahili kuelimishwa kwanza kisha taratibu zingine kufuata.
Vumbapu kabisa
Yaan miaka yote waliyokaa hapo hawakuwa wavamizi? Ila leo baada ya mafuriko ndo wamekuwa wavamizi na taarifa inatoka?Waelimishwe au wapewe taarifa?
Taarifa imeshatoka kwamba wao ni wavamizi kwa hiyo hawakustahili fidia. Hata hicho wanachopewa ni huruma tu na wala siyo stahiki yao.
Hapo kinachotumika ni sheria.
Sasa si atamezwa, atusombwa na kuondolewa na maji kwa fedheha, uharibifu, maumivu na pengine kuhatarisha uhai wake mwenyewe?Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokumbwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda.
Kijana mmoja amesema hawezi kuondoka kwake kwa fidia iliyotajwa huku mwingine akisema wameambiwa hakuna sheria inayomlazimisha Rais kulipa fidia bali ni huruma ya Rais.
Serikali ilipokea bilioni 463 kwa ajili ya mradi wa bonde la mto Msimbazi ikiwemo ujenzi wa daraja na kuboresha matumizi ya ardhi katika bonde hilo, nusu zikiwa msaada na nusu mkopo.
Nakumbuka hawa watu enzi ya utawala wa mzee wa Msoga walipewa viwanja Mabwepande na mabati juu sasa leo Serikali inawalipa fidia ganiWananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokumbwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda.
Kijana mmoja amesema hawezi kuondoka kwake kwa fidia iliyotajwa huku mwingine akisema wameambiwa hakuna sheria inayomlazimisha Rais kulipa fidia bali ni huruma ya Rais.
Serikali ilipokea bilioni 463 kwa ajili ya mradi wa bonde la mto Msimbazi ikiwemo ujenzi wa daraja na kuboresha matumizi ya ardhi katika bonde hilo, nusu zikiwa msaada na nusu mkopo.
Walishaambiwa wahame na wakapewa viwanja Mabwepande, wakadai kule ni porini (sasa hivi ni mjini) wakavikataa wakarudi hapo.Yaan miakaa yote waliyokaa hapo hawakua wavamizi? Ila leo baada ya mafuriko ndo wamekua wavamizi na taarifa inatoka?
Hayo mafuriko yameanza mwaka huu tyuuh?
Hivi hawa si walipewa viwanja Mabwepande na Kikwete 2012 au sio hawa?
Unapotosha kwa faida ya nani. Hizo nyumba na hao watu ni Duni waache Serikali iwape fidia itakayowasaidia sio mnawakandamiza kwa chuki, wivu na upotoshaji.Nakumbuka hawa watu enzi ya utawala wa mzee wa Msoga walipewa viwanja mabwe pande na mabati juu sasa leo serikali inawalipa fidia gani
Viwanja vile wengine waliviuza kwa bei ya kutupa, na kuna wale waligoma kabisa.Nakumbuka hawa watu enzi ya utawala wa mzee wa Msoga walipewa viwanja mabwe pande na mabati juu sasa leo serikali inawalipa fidia gani
Hakuna upotoshaji. Yupo sahihi. Sema labda enzi hizo hukuwa na access na mediaUnapotosha kwa faida ya nani . Hizo nyumba na hao watu ni Duni waache I serikali iwape fidia itakayowasaidia sio mnawakandamiza kwa chuki , wivu na upotoshaji
Na hajui bilioni 1 ina milioni ngapi! Actually ukimuwekea milioni 90 hapo ukamtaka ahesabu bilioni moja hatowezaPengine hata kuiandika Kwa tarakimu hiyo billion Moja hawezi.
subiri upigwe tanganyika jeki!!Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokumbwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda.