Mkazi wa Arusha: Rais Samia tusaidie Jiji la Arusha ni chafu

Mkazi wa Arusha: Rais Samia tusaidie Jiji la Arusha ni chafu

Uchafu wa Jiji hadi rais asaidie! Hii ni too much kwa kweli.

Mbona Moshi wameweza? Haya na majukumu ya Baraza la madiwani, DC, RC na wananchi wenyewe kila mmoja katika mwili wake, chumba chake, nyumba yake, eneo lake, ofisi yake, mtaa wake, halmashauri yake na hatimaye mkoa wake.
 
Samia alete mafagio au?

Arusha mna matatizo kiasi cha kushindwa kujisafishia mazingira?

Rais akishawasaidia usafi si mtaomba kuogeshwa?

Apaa mbaka kishoia
 
Dar es Salaam wameshazoea Uchafu na harufu za vinyesi, majalala na Shombo

Btw, Arusha ni chafu eneo lipi hasa na kwnn usilalamike kwny Manispaa ya jiji unataka msaada wa Rais?
 
Usafi unaanzia na wewe

Huyu akifanya usafi,yule akifanya usafi,wakule akifanya usafi basi eneo lote linakuwa safi....wajapan ndiyo walifaulu kwenye usafi kwa style hiyo

Ova
 
Dar es Salaam wameshazoea Uchafu na harufu za vinyesi, majalala na Shombo

Btw, Arusha ni chafu eneo lipi hasa na kwnn usilalamike kwny Manispaa ya jiji unataka msaada wa Rais?
Dharau hizi,kumuomba rais
Wakuu wa mkoa wilaya wapo
Wakurugenzi wabunge madiwani maafisa watendaji wenyeviti wajumbe dah

Ova
 
Back
Top Bottom