Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Dharau hizi,kumuomba raisDar es Salaam wameshazoea Uchafu na harufu za vinyesi, majalala na Shombo
Btw, Arusha ni chafu eneo lipi hasa na kwnn usilalamike kwny Manispaa ya jiji unataka msaada wa Rais?
Umenena vyema mkuuUsafi unaanzia na wewe
Huyu akifanya usafi,yule akifanya usafi,wakule akifanya usafi basi eneo lote linakuwa safi....wajapan ndiyo walifaulu kwenye usafi kwa style hiyo
Ova