dega JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 3,171 Reaction score 3,087 Jul 4, 2020 #21 Angelikua ana jina la kiislamu jukwaa lingewaka moto! Naota tuu.
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,834 Jul 4, 2020 #22 ng'ombo said: Isamilo ni mitaa ya kisure Mwanza. Poleni wazazi ambao watoto wao wamefanyiwa unyama huo. Click to expand... mara ya mwisho umekuja MWANZA lini
ng'ombo said: Isamilo ni mitaa ya kisure Mwanza. Poleni wazazi ambao watoto wao wamefanyiwa unyama huo. Click to expand... mara ya mwisho umekuja MWANZA lini
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,792 Reaction score 9,017 Jul 4, 2020 #23 Sakasaka Mao said: Nasikia ukimkata uume anageuka shoga! Kwahiyo uozo wake atauendeleza. Click to expand... Mmh basi bora adhabu ya kunyonga iwepo tu.
Sakasaka Mao said: Nasikia ukimkata uume anageuka shoga! Kwahiyo uozo wake atauendeleza. Click to expand... Mmh basi bora adhabu ya kunyonga iwepo tu.