Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

hapana,anaweza kutangaza kupotea kwa vyeti kwenye magazeti na anaenda kwenye hivyo vyuo na loss report na hilo tangazo anapewa nakala ya vyeti
 
Vyeti vyangu vya udsm avichome????? labda km nimesoma TEKU....

Nitamkanda siku hiyo mpaka aniambie Kwa Nini wasabato wanajiita wakristo wakati hawataki kula kitimoto.
 
Hahahaha sina mbavu 🤣😂😅😆😁😄
 
Alafu wee utakuwa unawafagilia hawa wanawake wasomi...bro hao hatuoi...ni majanga tuuu. Bora hao wa form four failures lakini sio hawa wa degree zao sijui cpa. Nyodo kama zote
Ajui usalama wengi ndio huoa wanawake wasiowasomi ajiri ya confidential chukua hiyo
 
Sio kweli, ukipoteza cheti, upo utaratibu wa kupata kingine
 
Sijui kama ni OG
ila nachojua unapata vyeti vingine, ambavyo vinatambuliwa na serikali na taasisi nyingine.
 
Kinachomliza nini? Havipatikani tena au na yeye ni kama mkewe hajui anaweza kupata nakala?
 
Vyeti si vinapatikana tu atafute loss report aende chuo au Nacte anapata
Hapo utajiuliza tofauti yao nini, maana aliyesoma anafanya mambo kama asiyesoma!!
 
It sounds like chai flani hv amazing.
 
Vyeti vyangu vya udsm avichome????? labda km nimesoma TEKU....

Nitamkanda siku hiyo mpaka aniambie Kwa Nini wasabato wanajiita wakristo wakati hawataki kula kitimoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona vyeti vyote vinapatikana tu kirahisi.

Safi, Mwanamke Usafi aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…