Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu


ukigongewa utavumilia au
 
Wewe WhoWeBe na huyo jamaa yako ambaye ni wewe mwenyewe kupitia mgongo wa jamaa yako just go & check up on your mental health! How come Miamala ya 10,000/= mara mbili kwa mwezi ( a total of 20,000/=) na muda wa maongezi 2,000/= kila siku ( a total of 60,000/=) kwa mke wako kujitumia unakuja ku-raise issue hapa JF To The Home of GT! This is so disrespectful indeed!
 
Baada ya mume kupatana na mkewe kama nakuona sura Yako 😥
Ugomvi wa mke na mume hauingiliwi by the way hiyo issue ni mdogo rahisi kuirekebisha
Sijamfuata, kanifuata nyumbani. Sijawahi na sitowahi kuyafuatilia maisha yao kwani sina sababu. Mi nimeshauri nilivyoona, kuuchukua ushauri au kutouchukua hilo lipo juu yake na nimemwambia kabisa kuwa I don't give a dam.....nitaendelea na shughuli zangu kama kawaida
 



Wanaume wengi wanaibiwaga sana na wake zao.

Wanaume wengi ni wasahaulifu.

Hata akiibiwa ni ngumu kugundua.
 
Ndugu, unaijua kazi yake?!!! Halafu hilo tukio limeendelea kwa mwaka mzima na kwanini amfiche mumewe kwa kufuta jumbe za miamala?!!!!!
Kama mume wake hampagi pesa za matumizi yake? Na za msosi anaacha mbazo baada ya msosi zinaisha zote?

Mke afanyaje?
 
Dah Wanaume tutafute hela.
Yaani amuache mke kwa 45,000

Manake kwanza ncheke.

Nlidhani anamuacha coz anachapiwa kumbe kujirushi hela.
 
Dah Wanaume tutafute hela.
Yaani amuache mke kwa 45,000

Manake kwanza ncheke.

Nlidhani anamuacha coz anachapiwa kumbe kujirushi hela.
Mh, kuelewesha ni kazi sana aisee!
Kwahiyo we umeona issue hapo ni hela tu, nyie ndio mwishowe wanawake wanawaona mabwege na kuamua kuwaletea hadi mabwana zao ndani mwenu humo humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…