Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Nifah soma hii..amejimaliza balaa.kajitungua huyoo😀😀😀kivuruge wangu on the one n two🎤
Kivuruge mie nasemaga ukweli🤣🤣🤣 Mpenzi wa Mungu Mie🤣

Hivi fikiria shosti, kudanga na kujiua Bora nini? Imagine unajiua dhambi ambayo hata viongozi wa dini wanagoma kukuzika, huku nyuma unaacha wanao wanateseka, Si bora uwe na tubebi twako twa akiba kinaact Kama shock absorber.....utatubu ukizeeka.🤣🤣🤣
 
Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...

Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]



Umemuelezea vizuri sana [emoji3][emoji28]
 
Kivuruge mie nasemaga ukweli🤣🤣🤣 Mpenzi wa Mungu Mie🤣

Hivi fikiria shosti, kudanga na kujiua Bora nini? Imagine unajiua dhambi ambayo hata viongozi wa dini wanagoma kukuzika, huku nyuma unaacha wanao wanateseka, Si bora uwe na tubebi twako twa akiba kinaact Kama shock absorber.....utatubu ukizeeka.🤣🤣🤣
😆😆😆😆😆😆🎤🎤
 
Tunakushauri usishike simu yake daima na milele[emoji1787][emoji1787]

"Walaa tajasasu- msipekuane pekuane" ishi humo.


Ni kweli maana wala sio kusema kuwa hana mchepuko isipokuwa ni vile she is not yet informed .

Ni afadhali asijihusishe na upekuzi wa Simu wala kufuatilia nyendo za shemegi yetu.

Labda awe tayari kuachana .

Na Mwanaume mwingine unamkamata na mchepuko kisha anakwambia nimemwacha lakini hajamwacha wala nini [emoji108]

Story kama za D.Pond ndivyo walivyo wengi.
 
Hapo lazima ni ya mtu wake wa karibu sanaaaa kuanzia labda kifamilia.. maana duh!!!
 
Kuna wanaume wanajua ku pretend mpaka basi Yaani anajifanya Mtakatifu fulani !

Akitoka asubuhi ni kazini akitoka kazini ni nyumbani moja Kwa moja.
Hanywi pombe , haendagi club jioni wala usiku ,
Saa 12 yupo home.
Haendi hata kucheza draft mtaani .

Ikifika Ijumaa anakuuliza kesho Jumamosi twende wapi? Unapanga wewe anakubali.

Hiyo Ndiyo liturgia yenu miaka tangu ndoa.

Shoga angu unajua una bahati umepata mume wa kwako peke yako hachepuki.
Unashangaa na kuzani wenye wanaume wachepukaji labda wana madhaifu mengi!

Bibi wewe disappointment utakayokuja
Kutana nayo baada ya miaka [emoji2356]

God forbid!

Na mahusiano yanakuwa yameweka mizizi kama Mtoto au watoto walishazaliwa na hawana makosa wamejikuta wamezaliwa bila kuomba.

Hapo lazima unyooke.

Mapito hutia akili.
 
Kwanini aliwabia majirani kama amekunywa sumu? Kifo sio mchezo wandugu.
 
Back
Top Bottom