The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Ukikutwa unakazia kabisa hivi utakataaje yani? Wajumbe walisemaje kuhusu hili,, au kufumaniwa kinadharia tu?
Wale ni zaidi ya wajumbe, ni wakulungwa.
Mmoja akasema hata mfumaniwe hamna nguo, eti unasema ndio ilikua tunataka kuanza. Msisitizo wao ni pale pale, no matter what, you never...nnnever admit.
Zakuambiwa nikachanganya na zangu, wakanivua vyeo vyote kuanzia uanachama, ukoplo na sameja. Kukubali au kukiri sio jambo rahisi, na lina madhara ya muda mrefu pia, lakini kwangu ikiwa ushahidi wote uko mezani, ntakiri na kujisalimisha.
Wote wanaopitia hapa nawashauri wasome Methali 6:32. Kwa ufupi anasema aziniye na mwanamke, hana akili kabisa