Mke akikufumania fanya yafuatayo ili akusamehe

Ukikutwa unakazia kabisa hivi utakataaje yani? Wajumbe walisemaje kuhusu hili,, au kufumaniwa kinadharia tu?

Wale ni zaidi ya wajumbe, ni wakulungwa.
Mmoja akasema hata mfumaniwe hamna nguo, eti unasema ndio ilikua tunataka kuanza. Msisitizo wao ni pale pale, no matter what, you never...nnnever admit.

Zakuambiwa nikachanganya na zangu, wakanivua vyeo vyote kuanzia uanachama, ukoplo na sameja. Kukubali au kukiri sio jambo rahisi, na lina madhara ya muda mrefu pia, lakini kwangu ikiwa ushahidi wote uko mezani, ntakiri na kujisalimisha.

Wote wanaopitia hapa nawashauri wasome Methali 6:32. Kwa ufupi anasema aziniye na mwanamke, hana akili kabisa
 
Hiyo inategemea na akili ya Mwanamke, kama ni akili ndogo sana ndio atakuelewa lakini kama ni smart akili kubwa atakuona mtoto sana hasa kama kuigiza pia huwezi

Yaani m, eti upate upate ajali waache kukupa huduma ya kwanza like kukupeleka hospitali nipigiwe simu wanisubiri mpaka nije nikukute unarukaruka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbinu ya kishamba kweli! Wahuni wangu hawajawahi ni let down 😄
 
Habari wakuu,

Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta ugomvi na linatishia uhai wa ndoa au mahusiano yako,
Kufumaniwa ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Fanya yote ila mkeo asijue kuwa unachepuka.

Ukishindwa kuficha hakikisha anajua kuwa unachepuka ila isitokee hata siku moja akakukuta kwenye tukio.


Sana alaetewe mwanao siku ya msiba wako tu.
 
Kufumaniwa ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Fanya yote ila mkeo asijue kuwa unachepuka.

Ukishindwa kuficha hakikisha anajua kuwa unachepuka ila isitokee hata siku moja akakukuta kwenye tukio.


Sana alaetewe mwanao siku ya msiba wako tu.
Hii wanaume tunaiweza mbona, watu kibao wana watoto nje ya ndoa wengine wamewaficha huko kwa bibi zao na hutawakuta wanaropoka kwa mke hata siku moja.
 
Kufumaniwa ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Fanya yote ila mkeo asijue kuwa unachepuka.

Ukishindwa kuficha hakikisha anajua kuwa unachepuka ila isitokee hata siku moja akakukuta kwenye tukio.


Sana alaetewe mwanao siku ya msiba wako tu.
mbona hamna haja ya yote mkuu inategemeana na wew unaishije na mkeo

Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
 
Mtu naheshima zako ulake kwenye mavumbi na damu za mbuzi kisa mwanamke,hebu kuwa serious basi
 
umenikumbusha braza mmoja (rip),yeye alilala kwa mchepuko baada ya kulewa, kazinduka saa mbili kesho yake jumapili,alichofanya alienda polisi akazungumza na jamaa kituoni,wakampigia simu mkewe kuwa alikamatwa tangu jana yake usiku,wakampa simu aongee na mumewe,jamaa hakuwa na maneno mengi alimuagiza mkewe aje na 20000 za kuwapooza jamaa ili wamtoe,mkewe alivyokaribia kituoni jamaa kaingizwq lock up chap, mke kufika alibembeleza na machozi juu,jamaa akatolewa kwa mkwara na kibao cha mgongoni,mke ilibidi akanunue supu
 
Kuna bwana mmoja aligombana na mkewe akajisingizia kavunjika mguu yuko hospitali kwa mama yake huko upareni , weeee binti ndiyo kwanza kafunga mizigo katimua.
Bwana kujua anabaki kuomba msamaha tuu ila ndoa chali imevunjika kitambo.
 
Wewe huwajui wanawake vizuri..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wapo ambao watasema bwana amejibu maombi
 
Siyo huyu chizi wangu..atazima na simu alale na Wanae vizuri..mengine atauliza asubuhi akishatuliza mashetani yake
 
Kikubwa ni kuwa mkali zaidi yake... Umeoa mke na sio mpelelezi.
 
Kamwe usikubali kosa mkuu...

Hata kama ameona SMS sema huzijui. Kama ameona picha na wewe jifanye ndio kwanza umeziona tena shangaa kuliko yeye.

Akikufuma gesti au Ghetto iwe mjengoni au ugenini silaha yako ni mbio. Baadaye mkikutana kana kabisa hukuwa wewe.

Akikubana au ukibanwa na ushahidi wa mazingira singizia shetani na ulikuwa hujitambui yaani ndio umeshtuka.

Usikubali kufumaniwa kamwe abadani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…