Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Ukichafukwa kitu chochote kinachomhusu mwanamke unakiona kama takataka TU na hutak hata kuskia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza mambo mawili kwa deeppond
1.Samaki mkunje angali mbichi (tunaokutana ukubwani Mungu aturehemu 😁)
2.Familia ya binti inaweza kuchangia kudumu au kuvunjika kwa ndoa (Hekima za baba mkwe ziliokoa ndoa yake)
 
Mkuu lete visa hivyo bhana hasara zipi hizo nakumbuka kwenye uzi wetu ule wa MIKEKA mizinga uliyokuwa unatupia na mingine ikichanika mizinga ya maana hebu ukipata time tupia na story hizo tafadhali
 
Nimejifunza mambo mawili kwa deeppond
1.Samaki mkunje angali mbichi (tunaokutana ukubwani Mungu aturehemu [emoji16])
2.Familia ya binti inaweza kuchangia kudumu au kuvunjika kwa ndoa (Hekima za baba mkwe ziliokoa ndoa yake)
Hapo namba 1 Sahii kabisa,
Wee angalia tabu nnayoipata kumrudisha mamaJ mstarini, Ni habadiliki uswahili ushakaa kwny damu. hiki leo kesho anarudia

Kuoa MKE mdg nako Kuna faida zake[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu lete visa hivyo bhana hasara zipi hizo nakumbuka kwenye uzi wetu ule wa MIKEKA mizinga uliyokuwa unatupia na mingine ikichanika mizinga ya maana hebu ukipata time tupia na story hizo tafadhali
Big up una kumbukumbu nzur sn,
Kwny mikeka nako nikikua napoteza pesa mingi Sana,Sema kwasababu Ni utaftaji napotezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila baba yako DeepPond Ni bonge moja mzee mwenye busara sana.
Hana papara katika kufanya maamuzi. Yaani ikiangalia the way alivyokuwa anahandle issues!! Hakuna gadhabu ama kujionyesha kuwa yeye baba tu, bali kwa utulivu na kwa hekima. Kongole kwake💪👍
 
Aloo we acha tu me mpaka kesho muhindi bado na hasira nae naendelea kumuwinda tu na bado anazidi nipa za uso tu [emoji23]
Mi bado nipo,
Japo kwasasa sio Kama zaman,
Nowdays nacheza Sana inplay nnapokua free

Nabet for plaesure,not pressure sikomai sn
Sema Sina hasara nae, nmemla Sana

Ninapokua na MDA nabet,nikikosa natulia sifanyi risk za kijinga kuweka pesa ilimradi
Nakua mpole mpk nijiridhishe kwanza.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wangu kiukweli namuaminia Sana,
Huwa hakurupuki kwny maamuz yake na anapenda kumskiliza Sana ukimletea jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimesoma story yote
Hakika ni mfano wa kuigwa na iwe reference kwa wote ndugu
 
Nimejifunza mambo mawili kwa deeppond
2.Familia ya binti inaweza kuchangia kudumu au kuvunjika kwa ndoa (Hekima za baba mkwe ziliokoa ndoa yake)

Kwa baba mkwe,.
Kiukweli mola ampe maisha marefu Sana,
Ni mzee mwenye busara sn na asiyetaka mambo ya hovyo kwny familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…