DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #321
Ukichafukwa kitu chochote kinachomhusu mwanamke unakiona kama takataka TU na hutak hata kuskiaHujawaji chafukwa wewe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichafukwa kitu chochote kinachomhusu mwanamke unakiona kama takataka TU na hutak hata kuskiaHujawaji chafukwa wewe!!
Huyu mamaJ tunakwenda bampa to bampa[emoji4]Kumbe ana hofu ya Mungu mama G thus y!Sasa huyo kivuruge wako pambana nae tu[emoji16]
Kafanyeje Tena shemeji yetu mkuu [emoji848]Mm wa kwangu nimeshindwa kumuita tu mpuuzi ilaa achaaa tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimejifunza mambo mawili kwa deeppondUkichafukwa kitu chochote kinachomhusu mwanamke unakiona kama takataka TU na hutak hata kuskia
Sent using Jamii Forums mobile app
La kusema umekosa; je la kujifunza umelipata?Yaaaaani aisee nimekosa la kusema
Mkuu lete visa hivyo bhana hasara zipi hizo nakumbuka kwenye uzi wetu ule wa MIKEKA mizinga uliyokuwa unatupia na mingine ikichanika mizinga ya maana hebu ukipata time tupia na story hizo tafadhaliHa ha ha...
Hajawai kurudia ule Ujinga kabisa
Huwa namwabia kua hizi Mali za kupita,
Isifikie hatua Mali zikatuondolea utu na ubinadamu
Mali haziwez kunifanya niogope kuachana na mwanamke Maana najua hata zikipotea mikono na miguu bado ninayo, kama nilivotafuta zile,ntatafuta nyngn pia.
Mkuu,
Achilia mbali kugawana na mwanamke,
Nishapitia hasara nyng sanankibiashara kuliko hata hizo Mali mwanamke angechukua.
Kwahyo,
Hata angesema anachukua,
Ningechukulia ni hasara TU kibiashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo namba 1 Sahii kabisa,Nimejifunza mambo mawili kwa deeppond
1.Samaki mkunje angali mbichi (tunaokutana ukubwani Mungu aturehemu [emoji16])
2.Familia ya binti inaweza kuchangia kudumu au kuvunjika kwa ndoa (Hekima za baba mkwe ziliokoa ndoa yake)
Big up una kumbukumbu nzur sn,Mkuu lete visa hivyo bhana hasara zipi hizo nakumbuka kwenye uzi wetu ule wa MIKEKA mizinga uliyokuwa unatupia na mingine ikichanika mizinga ya maana hebu ukipata time tupia na story hizo tafadhali
Hiyo ni michezo ya omughakaDeepPond hongera sana. 👍
Mtiririko mzuri hadi mwisho wa story; hakuna itaendelea.
Aloo we acha tu me mpaka kesho muhindi bado na hasira nae naendelea kumuwinda tu na bado anazidi nipa za uso tu 😂Big up una kumbukumbu nzur sn,
Kwny mikeka nako nikikua napoteza pesa mingi Sana,Sema kwasababu Ni utaftaji napotezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia pia Hapo mkuu[emoji4]La kusema umekosa; je la kujifunza umelipata?
Wewe tunafanana mawazo, Analyse naye safi kabisaAnalyse na Deep pond wapewe heshima yao
Mi bado nipo,Aloo we acha tu me mpaka kesho muhindi bado na hasira nae naendelea kumuwinda tu na bado anazidi nipa za uso tu [emoji23]
Mzee wangu kiukweli namuaminia Sana,Ila baba yako DeepPond Ni bonge moja mzee mwenye busara sana.
Hana papara katika kufanya maamuzi. Yaani ikiangalia the way alivyokuwa anahandle issues!! Hakuna gadhabu ama kujionyesha kuwa yeye baba tu, bali kwa utulivu na kwa hekima. Kongole kwake[emoji123][emoji106]
Hebu shusha nondo hapa chini, kuhusu kuoa mke mwenye early 20sHapo namba 1 Sahii kabisa,
Wee angalia tabu nnayoipata kumrudisha mamaJ mstarini, Ni habadiliki uswahili ushakaa kwny damu. hiki leo kesho anarudia
Kuoa MKE mdg nako Kuna faida zake[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimesoma story yoteHabar wakuu,
Kwanza niseme TU kisa hiki ni Cha miaka mingi ya nyuma sn ilopita ya ndoa yangu na MKE wangu MAMA G.
Kiukweli miongoni mwa ndoa zilizopita misukosuko mingi miaka 5 ya kwanza ya kwangu naweza kusema ilikua mojawapo.
Misukosuko hii nashkuru iliweza kutujenga imara mpk Sasa naweza kusema sijutii kuoa na naweza kusema nmebahatika kupata MKE Bora kabisa maishani, yaliyopita Si ndwele. Tugange yaliyopo na yajayo.
Anyway,
Nawaletea kisa Cha misukosuko ya ndoa yangu ambapo MKE wangu baada ya ugomvi mkubwa alidai talaka na kutaka tufuate sheria ili tugawane Mali, sema nilichomfanyia nilimnyoosha alijuta na hatosahau maishani mwake na mpk leo Hata tugombane vipi.
Kauli ya "TUGAWANE MALI" ilikoma na hawezi Tena kurudia kuitamka Tena.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nimejifunza mambo mawili kwa deeppond
2.Familia ya binti inaweza kuchangia kudumu au kuvunjika kwa ndoa (Hekima za baba mkwe ziliokoa ndoa yake)
Nondo ndo kama hivi mtajifunza kupitia Visa vyangu, Kuna Uzi mwngn nao ntauleta khs heka heka za wife in her early 20s maana naona wadau mmevutiwa sn kujua niliyopitia mwanzon mwa ndoa yangu ilivikua changa.Hebu shusha nondo hapa chini, kuhusu kuoa mke mwenye early 20s