Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Kuna funzo kubwa Sana hapa
 
Huyo ni wako from heaven kabisa .Angekua kichwa kigumu hata kwao angehama kimyakimya awaache na makelele yao
 
Ahsante sana kiongozi kwa kutuletea mkasa huu hakika kuna la kujifunza hapa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Yah! Umeongea ukweli mtupu,
Ulilosema khs baba kua final say nmeliona Sana kwa mzee, atakusikiliza ila maamuz atakayoamua ndo ya mwisho. Hayana mjadala Wala hayahojiwi popote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia busara Sana kukumbuka mtoto,
Hawa wachungaji wa kizazi kipya nao changamoto Sana
Haiingii akilini anafukia kombe kisa aliefanya Ni.mchungaj mwenzie[emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwie radhi mkuu
Hi comment yako nikichelewa sn kuiona
Shukran Sana kama umepata la kujifunza[emoji4][emoji1431]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…