Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Mkuu uko well off. Big up!
 
Sahh Sana na inatosha hyo ,

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
nategemea kuandika wosia alafu


Huo wosia bado hujaandika ukifa leo je?
 
Ulitumia busara Sana kukumbuka mtoto,
Hawa wachungaji wa kizazi kipya nao changamoto Sana
Haiingii akilini anafukia kombe kisa aliefanya Ni.mchungaj mwenzie[emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
Washenzi sana hawa jamaa na huwezi amini ni wa makanisa ya kilokole kabisaaa na mapepo wanatoa na mpaka dk hii ameona bora nyumba ya mdogo wake ife ili kuficha aibu[emoji2959][emoji2959] nimemuhurumia sana huyu mwenza ila ukiangalia mbele kidogo linaweza kutokea la kutokea kukawa hakuna pakugusa kwa sababu ya mahusiano mabovu hivyo tunaachana kama meli inazama taratiiiibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But mi sijaona ambacho umemkomoa. Ni vile tu yeye hakuwa ameamua but kiuhalisia kama angekuwa ameamua angefaidi kwa wewe kumzilia hivyo vitu.
 
Hasira zingine buana..sasa angeamua kuchukua hizo mali ndio ungekuwa umemkomoa..?? #CHAI
Hili swali la msingi sana. Mimi mwenyewe nimewaza hapo angeamua kuchukua angekuwa amekomoleka vipi? Ashukuru tu ni mdada ambaye alishikiwa masikio na hao shangazi ila baba yake ana akili. Wangekuwa hawa magume gume mbona ingekuwa sherehe.
 
DeepPond kiukweli sijaona ambacho umemkomoa hapo. Yaani hakuna ambacho utasema nlichomfanya hatosahau au hatorudia tena. Sema kwa sasa anaweza kujipanga vizuri zaidi ashajua unavyo react. Niseme uliamua tu maamuzi magumu ya kijasiri ila si maamuzi ya kumkomesha.

nakupongeza pia ni mwandishi mzuri nadhani pia kwenye tuzo ya watunzi bora ulipaswa uwepo maana wewe huna madeko wala kujisikia sikia kama akina ....... So tuendelee kujuzana na kuburudishana humu JF.
 
Kama ni hadithi ya kutunga basi ni nzuri Sana tena sana. Lakini kama ni kweli haya yalikutokea unastahiki sifa kwa hayo uliyoyafanya kwa ushujaa kabisa. Mungu awe nawe siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…