Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Naomba link ya huo Uzi uliokugusa
 
Hapo kuna vitu vingi sana vya kujifunza especially kwa hivi viumbe vnavyoitwa Wanawae
Ila DeepPond
Umesema alikuja na mtoto wake na Sio mtoto wenu G😀😀😀
 
Bila Hekima na Busara katika ndoa hatutoboi. Kila siku tusali..tuombe hekima kwa muumba. Ikiwezekana na funga na sadaka..kuitafuta hekima. We need Heavenly wisdom.
Maneno mazur yenye roho wa mungu yaliyojawa hekima na busara sana.
Mungu akupe maisha marefu sana Juandeglo[emoji4][emoji1431]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa iman zao ndo maana sijawai kuziamini kabisa, zimekaa kimchongo mchongo Sana. PATHETIC[emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaahhhh
 
Huyo mwenzo wako muache anyooke Kwanza, asipokaa sawa Itakua shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But mi sijaona ambacho umemkomoa. Ni vile tu yeye hakuwa ameamua but kiuhalisia kama angekuwa ameamua angefaidi kwa wewe kumzilia hivyo vitu.
Kwa tulipokua tumefikia,
Hakukua na namna ambavyo angechukua vile vitu maana nilikwenda kuvibwaga ukweni (alikozaliwa).

Sasa presha ilikua kwa wazazi wake maana ni fedhea kwa familia nzima maana nilimjazia Watu Sana.

Otherwise Kama ningefanyia vichochoroni angejipa ujasiri litapita, nilichofanya nilimtangazia yeye na familia yake nzima.

KWA FAMILIA INAYOJIELEWA,
HAKUKUA NA NAMNA WANGEPOKEA VILE VITU KWNY MAZINGIRA YAO.

Maana kushusha mzigo wa fuso na canter kuumwaga kiwanjan, afu magomeni uswahilini mchana kweupe Ni aibu Kuna sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeehh ..pole mnooo!
Mdogo wangu anapewa na mmewe pesa almost mwezi mzima km 3m juzi kamuomba kampa 600k.... aseeehh nimemkunjaa sikujali ukubwa wake mmewe kaogopa kumpiga kanipigia simu ananiambia ntaua mimi dada(hua ananiita dada badala ya shemeji)nikaenda dar ghafla nimemzibua nimerudi niliko,na nimemuambia usimshirikishe chochote pesa weka benki
Wanawake tunafeli somewhere haswa hapo kutunza pesa za waume zetu
 
Hapo kuna vitu vingi sana vya kujifunza especially kwa hivi viumbe vnavyoitwa Wanawae
Ila DeepPond
Umesema alikuja na mtoto wake na Sio mtoto wenu G[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa Hali niliyokuepo,
Yule mtoto alikua Ni wake,
Maana Ni Kama nilisusa wote yy na mtt
Nisamehe Kama ntakua nmetumia kauli mbaya[emoji1431]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna tabia yakutingisha kiberiti kidogoo
 
Sahii kabisa reymage
Mume anapokukabidhi pesa ya familia,
Ujue kakuamini Sn, Unapaswa kuiheshimu na usiifuje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna tabia yakutingisha kiberiti kidogoo
Hi tabia ya kutikisa kibiriti nadhan mnayo almost wanawake wote Kwny damu,

Ndo maana sometimes tunawapenda sana ila tukiwa na nyie tunajifanya hatuwapendi kuepuka hii kadhia ya kututikisa vibiriti[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoooo...Raha Sana ht weee pia unaonekana unajua kuishi na watu
 
Waoooo...Raha Sana ht weee pia unaonekana unajua kuishi na watu
Kuishi vizur na Watu Ni mtaji,
Nisingekua naish vzr na Watu Hata mchezo mchafu dukn kwangu wa wife na Kaka ake kunihujumu nisingegundua kabisa maana alienitonya ni jirani yangu wa duka opposite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pia ni vizuri maana umewaonyesha msimamo ukiwa legelege ukwen watakusumbua mnoo bora kuwa kaksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…