Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hizo ni sheria tu za mwanadamu na si lazima zitekelezeke.Mioyo ya binadamu ni migumu, talaka Kwa ndoa haipo hata ukimkuta mwenzako anazini hurusiwi kumuacha , ndoa ni kuvumiliana katika Hali zote, Sabaya alihukimiwa kifungo na alikuwa na mchumba , lakini baada ya rufaa akaachiliwa Sasa mchumba wake angejichanganya kutolewa na baadae jamaa akarudi ingekuwaje , Kwa maelezo juu ya talaka soma mathayo 19: 1-12 ndio utaelewa maana ya ndoa
MFano wewe una umri wa miaka 27, mke wako akafungwa jela miaka 30. Utaweza kuvumilia miaka yote hiyo bila tendo ukimsubiri yeye? Au unasema tu kwasababu huamini kama inaweze ikakutokea?