Lamisele
Senior Member
- Aug 17, 2022
- 147
- 303
Kama umekubali kuolewa na anaepiga kimoja unapaswa kukubaliana na hali kama hauwezi bora kila mtu afanye mambo yake maisha sio kunjunju tu yapo mambo mengi ya kufanya.Unamkojoza vizuri kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umekubali kuolewa na anaepiga kimoja unapaswa kukubaliana na hali kama hauwezi bora kila mtu afanye mambo yake maisha sio kunjunju tu yapo mambo mengi ya kufanya.Unamkojoza vizuri kweli?
Sema mkuu una maswali mengi km daftari la sensa,Tuanzie hapo
- Mna umri gani
- Ndoa yenu ina muda gani
- Mna watoto wangapi
- Asili yenu mikoa gani
- Elimu yako na mkeo ni kiasi gani
- Kipato chako na chake vinatofautiana kiasi gani
- Mnaishi mjini au kijijini
- Je mnashika nafasi gani za kiuongozi kanisani kwenu
Kwann atafute malaya na watoto wazuri wapo kibao,Tafuta malaya nje
🤣🤣🤣Ila wanawake kwenye kununa..hawajambo
Pole sana mkuu..na wewe hamia huko huko kwa watoto
Mlipishana naye anataka akupe SoMo kidogo. Usijaji sana maana angekua hakupendi angeondoka mazima. Vuta subira na zungumza nae taratibu mtaelewana tuu.Habari wakuu,
Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto.
Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba
Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata ananunua vyakula vyake na akifika hata kama kuna chakula hali ndani
Toka hiyo kutokuelewana hata kuongea hatuongei zaidi ya Mimi kuongea na watoto au yeye kufanya hivyo pia
Naombeni ushauri wa nini naweza kukifanya ili yeye arudi chumbani au asepe kabisa nijue moja.
Tumeishi wote kwa miaka 12 sasa na tumepata watoto watatu
Huwa sichangii harusi, mkuu. Nitakuangusha tu!Legendary 😀 nikiwa naoa kadi yako vvip
Hata minashangaa sana...🤔Hhaha dah mnawezaje?
Jeuri dawa yake ni KiburiHapo ndio waislam walipopatia, angepiga ndoa moja ya mkeka. Mke mdogo akatumia hiyo room aliyekimbia mke mjinga
pepo hilo kemeaHabari wakuu,
Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto.
Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba
Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata ananunua vyakula vyake na akifika hata kama kuna chakula hali ndani
Toka hiyo kutokuelewana hata kuongea hatuongei zaidi ya Mimi kuongea na watoto au yeye kufanya hivyo pia
Naombeni ushauri wa nini naweza kukifanya ili yeye arudi chumbani au asepe kabisa nijue moja.
Tumeishi wote kwa miaka 12 sasa na tumepata watoto watatu
Habari wakuu,

Ubaya ubwelakama kahama mwenyewe mwache usimsemeshe wala usimuulize chochote. Ispokuwa wewe fanya hivi atarudi mwenyewe chumbani tena atakuomba msamaha yeye.
1. jitahidi kuchelewa kurudi nyumbani. Sijakwambia uwe na mchepuko wala hauhitaji kuwa na mchepuko isipokuwa usiwe na habari naye yani onyesha kuwa yeye pia sio wa muhimu
2. Pesa ya matumizi mpatie dada wa kazi na maagizo yote mpe dada wa kazi, jifunze kufanya shoping ya nyumbani mwenyewe
3. Wikiendi hakikisha haukai nyumbani, kama una shamba tokomea huko lala huko huko rudi j2 jioni
4. Ukipata safari au kama unaweza kusafiri basi safiri na usimuage mke wako, unaweza kumuaga dada wa kazi na watoto wako tu.
Ukifanya haya yote na kama hajajirudi na kuomba samahani ndani ya mwezi basi huyo mpe likizo aende kupumzika kwao inawezekana akawa na mwanaume mwingine..
Ni suala la muda tuu, baadaye atarejea ama ikibidi mwombe msamaha hata kama kosa siyo lakwakoHabari wakuu,
Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto.
Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba
Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata ananunua vyakula vyake na akifika hata kama kuna chakula hali ndani
Toka hiyo kutokuelewana hata kuongea hatuongei zaidi ya Mimi kuongea na watoto au yeye kufanya hivyo pia
Naombeni ushauri wa nini naweza kukifanya ili yeye arudi chumbani au asepe kabisa nijue moja.
Tumeishi wote kwa miaka 12 sasa na tumepata watoto watatu
Sio wanawake wote ni malaya jamaa yangu, reserve the word!Ndio malaya wenyewe hao