- Thread starter
- #61
Ahsante mkuuTuanzie hapo
- Mna umri gani
- Ndoa yenu ina muda gani
- Mna watoto wangapi
- Asili yenu mikoa gani
- Elimu yako na mkeo ni kiasi gani
- Kipato chako na chake vinatofautiana kiasi gani
- Mnaishi mjini au kijijini
- Je mnashika nafasi gani za kiuongozi kanisani kwenu
1.Umri wangu ni 44 yrs, yeye 32 yrs
2.Ndoa Ina miaka 6 Ila tuliishi pamoja kwa miaka 5 kabla ya kufunga NDOA.
Tupo pamoja kwa miaka 11 sasa.
3.Tuna watoto watatu
4.Mme Mmakonde, Mke Msukuma
5.Mme ni Mwalimu na mke ni mjasiriamali
6.Tofauti ni kama laki 3.
7 . Tunaishi mjini dar es salaam
8.Hakuna kiongozi