Mke amehama chumba tulichokuwa tukilala pamoja

Sema mkuu una maswali mengi km daftari la sensa,
 
Mlipishana naye anataka akupe SoMo kidogo. Usijaji sana maana angekua hakupendi angeondoka mazima. Vuta subira na zungumza nae taratibu mtaelewana tuu.
 
Umeulizwa swali mbona fedha ya matumizi hutoi?Umeulizwa swali mbona mipango yenu anafanya siri? Umeulizwa swali mbona hulipi Kodi ya nyumba wakati wewe unakuja kulala tu? Umeulizwa swali mbona humpeleki mkeo wako nyumbani kwenu?Umeulizwa swali unasaidia ndugu zako mbona Mimi ndugu zangu husaidiii?
 
Sometimes hap viumbe huwa wanafanya uhuni makusudi ili mkosane apate sababu ya kujipa kalikizo kwako ili apate chance murua ya kuchati na kupanga mipango na mchepuko wake bila wewe kumletea bughdha, kaa kwa kutulia..

Toa amri sio mabembelezo.
 
Nawewe hamia chumba Cha house girl, au fanya umafia mvizie umteke umrudishe chumbani haraka, hakikisha watu hawakuoni. Pole sana
 
pepo hilo kemea
 

kama kahama mwenyewe mwache usimsemeshe wala usimuulize chochote. Ispokuwa wewe fanya hivi atarudi mwenyewe chumbani tena atakuomba msamaha yeye.

1. jitahidi kuchelewa kurudi nyumbani. Sijakwambia uwe na mchepuko wala hauhitaji kuwa na mchepuko isipokuwa usiwe na habari naye yani onyesha kuwa yeye pia sio wa muhimu

2. Pesa ya matumizi mpatie dada wa kazi na maagizo yote mpe dada wa kazi, jifunze kufanya shoping ya nyumbani mwenyewe

3. Wikiendi hakikisha haukai nyumbani, kama una shamba tokomea huko lala huko huko rudi j2 jioni

4. Ukipata safari au kama unaweza kusafiri basi safiri na usimuage mke wako, unaweza kumuaga dada wa kazi na watoto wako tu.

Ukifanya haya yote na kama hajajirudi na kuomba samahani ndani ya mwezi basi huyo mpe likizo aende kupumzika kwao inawezekana akawa na mwanaume mwingine..
 
Mlete hapa tupate maelezo yake. Kama kosa halina mashiko na wewe hama hapo home mwache na watoto, piga kimya endelea kutoa matumizi.
 
Pole Kwa unayopitia,ila nimefanya ka utafiti kadogo nikajua kuwa sisi wanaume tuliokosa malezi ya pande mbili yaani baba na mama ,mapenzi hayatutesi ki hivyo .


Mke wangu alijaribu kufanya hivyo siku moja,uzuri nimejaliwa watoto wa kiume tu,niliwaita watoto wangu nikala nao yeye akalala peke yake,kesho yake Sina Muda naye usiku ulipofika akataka kuja kulala kwangu nikamwambia arudi alikolala usiku wa Jana .

Aliomba msamaha,Kuna Muda roho yangu Huwa Haina utu kabisa kwenye baadhi ya mambo,Nina maamuzi magumu magumu,ndoa ya kanisani hata kama ingekuwa ndoa ya mbinguni haitakiwi iwe chanzo Cha mateso Kwa wahusika,wewe mwache alale huko,kama ni Mimi naleta na mwanamke mwingine kabisa.


Kama una house girl wewe mwite mulale pamoja,tanyooka tu
 
Ubaya ubwela
 
Ni suala la muda tuu, baadaye atarejea ama ikibidi mwombe msamaha hata kama kosa siyo lakwako
hiyo ndiyo falsafa ya wanawake wengi
 
Sema ulichofanya mbona unasimulia REACTION tu,hakukuwa na ACTION?
yani mliamka tu asbh mkaenda kazini jioni akatoka kuoga akaenda kulala chumba cha watoto?

SIPENDI MTU ANAYEJIVICTIMIZE kwenye changamoto!
eti arudi au asepe kimoja
As if it doesn't bother you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…