Mke amehama chumba tulichokuwa tukilala pamoja

Ahsante mkuu
1.Umri wangu ni 44 yrs, yeye 32 yrs
2.Ndoa Ina miaka 6 Ila tuliishi pamoja kwa miaka 5 kabla ya kufunga NDOA.
Tupo pamoja kwa miaka 11 sasa.
3.Tuna watoto watatu
4.Mme Mmakonde, Mke Msukuma
5.Mme ni Mwalimu na mke ni mjasiriamali
6.Tofauti ni kama laki 3.
7 . Tunaishi mjini dar es salaam
8.Hakuna kiongozi
 
Upo uwezekano mkubwa kufunga ndoa ndiko kumempa jeuri ya hayo anayofanya
Je mnautaratibu wa ku share simu zenu?
 
Upo uwezekano mkubwa kufunga ndoa ndiko kumempa jeuri ya hayo anayofanya
Je mnautaratibu wa ku share simu zenu?
Mara nyingi alikuwa yangu sababu ya bando, ni sikuwahi kuona shida Toyota kutokea uko
 
Huyu anadai promotion, mfanye mke mkubwa.
 
Shida sana mkuu bt ndoa nyingi zina changamoto sana hapo mwanamke ameshakuchoka na inawezekana Kuna mtu Yuko nae tayari yaani mapenzi hapo hayapo na huwezi kumbadilisha unajua wanawake wengi wakishatoka nje ya ndoaa huwa wanakuwa na vitabia kama ivyo hata Mimi ilinotokea hivyo hivyo nikaja kugundua badae mwanamke ananichiti na tulishaachana mda mrefu sana bt Mimi nilizaa nae mtoto mmoja mmoja mkuu Cha kukushauri mwombe sana mungu lakini kwa ushauri wa huku kwenye mtandao hautakusaidia mungu ndio anaweza kumbadilisha
 
endeleeni hivohivyo we ukifika nyumbani salimia hata kama haitiki kaa mezani toa hela zote weka mezani kama vile unapanga mahesabu kama huna mkope hata rafiki yako akupe hata laki3 halafu hesabu pale mezani kisha unampigia rafiki yako hatakama ni kuzuga tu kwa mambo ni mazuri ile laki mbili kesho ntakutumia
 
Mwambie ahame nyumbani kabisa.
Wakianza kuchepuka wana kiburi sana
 
Kabla ya kukushauli kwanza tungejua ni kabila gani?
 
Kumbe wamakonde mnaoaga?
 
Na wewe hamia chumba cha Dada wa kazi
 
Ukioa Kobe juu mti jua kapandishwa
Amekujaribu na ameshakauona wewe dhaifu ni sana
 
Sisi Alpha male huwa hatupendi kupandwa na wanawake kichwani lakini huwa tunaheshimu familia na huwa tunakubali makosa yetu tukikosea kama wewe ndo umemkosea jishushe uombe radhi maana hata mwanamke nae ana moyo pia.

Ila kama yeye ndo amekukosea alafu anakufanyia hivyo vituko hapo sasa ndo naweza kukupa ushauri wa kibedui
 
Wakwako tu huyo, kusanya vifaranga weekend peleka kwa bibi jumapili kawachukue. Mtoe mkeo out moja matata, ikiwezekana mkalale nje somewhere romantic.. mbembeleze, muombe msamaha hata wa uongo. Unamjua kuliko sisi wanajamvi.
Yani vurugu zote hizo kisa jitu limejinunisha?
 
Kuna rafiki yangu Ana umri wa 30s kanipa story inayofanana Kama yako

Kanambia mama yake kamkimbia baba yake na analala chumba cha watoto.

Basi hii itakuwa style mpya maana haijaanzia kwako
 
Hapo kwenye ualimu wako ndiko shida imeanzia..anakuona huna hela chief.
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…