We jamaa bhana kwani ualimu jamaa kasema ameanza leo?? Unataka kusema jamaa alikuwa rubani saiv ndio kahamia iyo kada ya ualimu ??Hapo kwenye ualimu wako ndiko shida imeanzia..anakuona huna hela chief.
Tunapenda sana π π πIla wanawake kwenye kununa..hawajambo
Pole sana mkuu..na wewe hamia huko huko kwa watoto
Si wanasema dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake,, hama au oa mwingine kama Imani yako inakuruhusu.Habari wakuu,
Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto.
Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba
Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata ananunua vyakula vyake na akifika hata kama kuna chakula hali ndani
Toka hiyo kutokuelewana hata kuongea hatuongei zaidi ya Mimi kuongea na watoto au yeye kufanya hivyo pia
Naombeni ushauri wa nini naweza kukifanya ili yeye arudi chumbani au asepe kabisa nijue moja.
Tumeishi wote kwa miaka 12 sasa na tumepata watoto watatu
Malakamiko ya mara Kwa mara hapo ndani anayokulalamikia ni yapi?Habari wakuu,
Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto.
Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba
Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata ananunua vyakula vyake na akifika hata kama kuna chakula hali ndani
Toka hiyo kutokuelewana hata kuongea hatuongei zaidi ya Mimi kuongea na watoto au yeye kufanya hivyo pia
Naombeni ushauri wa nini naweza kukifanya ili yeye arudi chumbani au asepe kabisa nijue moja.
Tumeishi wote kwa miaka 12 sasa na tumepata watoto watatu
OA HARAKA SANA WANAWAKE WAWILI.Habari wakuu,

AiseeTumeishi wote kwa miaka 12 sasa na tumepata watoto watatu