Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hahaha wenyewe wwnalalamika Wanaume wa Arusha ni Mario Sana na Mimi nilithibitisha hili jambo.Kuoa Meru ni sawa na Kuoa Muisraeli mtoa roho...usiseme hujaambiwa shauri Yako
Wamama na wadada wa Kimeru ni wajeuri na wakorofi Sana na Kila mwanaume aliyeoa Meru lazima atakuwa na Pressure na Kisukari.
Make Mmeru at your own Risks!
Arusha Women are stronger than Men, hiyo ni udhaifu wao sio wa kila Mwanaume