Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hapo Mzee ulikuwa umeoa jambazi, mimi wangu hayuko hivyo, kwanza anajua udhaifu wao na athari za Tabia zao kwenye Mahusiano kwa hiyo anajitahidi kuwa Mke Bora wakati woteZaidi ya kimastašme nilikua na demu wa hilo kabila tukigombana anakimbilia kisu anatishia kujiua au kuniua nkasema hamna mke hapa hao dawa yao usiwachokoze wala kuwakasirisha wala kuwafokea waelekeze kiupole kama wamekosea usijaribu kunyanyua mkono wako