Mke anahitajika wa ndoa

Mke anahitajika wa ndoa

Hongera sana

Ukipata mwanaume anayejielewa unastahili angalau ka IST kwa kujitunza [emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji1376]

Pesa ndio hawana sasa, kelele za bandari tu wanazo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mie natafuta mke bro...mie nataka hao hao wa type yangu.
Kwa kibamia hiki niseme nioe aisee mbona kila leo nitakuwa nakuja saka ushauri hapa jf maana mke atakuwa anatombwer tuu nje na de liboloz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],ila we jamaa,kha!
 
Ninkweli kabisa waje watoe ushuhuda lah sivyo tutaendelea kuamini kuwa ni porojo tuu hapa love connect.
Ila kuna mrembo mmoja alipost analalamika kiwa jamaa alimgegeda na kumtia mimba ila sasa hataki kuhudumia....so inaonekana ata wanaume wa jf nao sio husband material
Mkuu tulipata wake humu, its very tricky ila wapo wadada wazuri sana wa tabia, wanafaa kuweka ndani. Lwa wengine jf ni alama ya maisha as imetukutanisha na wake zetu.
 
Mkuu tulipata wake humu, its very tricky ila wapo wadada wazuri sana wa tabia, wanafaa kuweka ndani. Lwa wengine jf ni alama ya maisha as imetukutanisha na wake zetu.
Aisee hatari ...sii mchezo kumbe watu humu mnaowana kabisa na hamsemi. Hongera bwana
 
Aisee hatari ...sii mchezo kumbe watu humu mnaowana kabisa na hamsemi. Hongera bwana
Nimekupa ushuhuda huo, atakuja mwingine asiye mwoga nae atamwaga ushuhuda wake. 10+yrs of knowing each other mkuu.
 
Back
Top Bottom