Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

Ukimtoa miaka Mitano nyuma unakuta Ulioa Ukiwa Mzee na Mke pia alikuwa Mzee (Shangazi kwa Sasa). Hapo Mzee vumilia tuu.
Uzee hauna mahusiano na tendo la ndoa.. Mdororo wa afya ndio unaweza kumfanya mtu ashindwe kushiriki tendo
 
Bila shaka huyo Jamaa ni Msabato
 
Aoe mwanamke mwingine wanawake wengi namna hiyo anasumbuka na mwanamke,
.Wanaume tuna mambo mengi haipaswi kusumbuliwa na mwanamke
 
Ampandishe cheo!

Wanaume mnakuwaje dhaifu hivi? Unanyimwa upo tu?

Mi kaka angu alizabwa kibao na mkewe, jioni akaoa bi mdogo na ni wakristo 😂😂
Kweli mkuu. Mke mbishi na kisirani anapandishwatu cheo. Akiwa mke mkubwa mbona atainjoi upweke
 
Ushauri wangu nikwamba fanya moja kati ya haya.
1: Nenda polisi
2: Kamshtaki kwa waziri Gwajima wa mambo ya jinsia
3. Mpeleke kwa katibu mwenezi
 
Mkuu umeambiwa kafunga ndoa ya Kimira yani wazee wanajua na kisheria inajulikana yani ata mfano mume wao akifariki kwenye kugawana Mirathi mke mdogo na watoto wake wanatambulika na ukoo. Na kama mume kaacha mashamba na viwanja kijijini kwao vitagawiwa kwa wajane wa marehemu.
 
Mapenzi ni starehe hakuna haja ya kulazimishana Kama mwanamke hataki ukimlazimisha maana yake huwezi kupata starehe kwa sababu yeye hayuko tayari ni heri ukatafuta mbadala ukirudi nyumbani ni sehemu ya kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…