Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

Habarini wajukuu wema na wabaya.. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa..

Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa tendo la ndoa.. Hakuwasikiliza.. Sasa yamemfika.. Anadai kuwa wanaweza kukaa hata miezi sita bila kushiriki tendo hilo.. Na jamaa anapohitaji anaweza kuomba hata wiki ndio apewe tena kwa masimango.. Mara huwezi mara umezeeka nk..

Amejaribu kuzungumza na mkewe bila mafanikio.. Mwanamke anadai hajiskii.. Sasa ananiomba ushauri afanyeje ili ndoa yake idumu na apate tendo la ndoa kama kawaida..??
Hii sio case mwanaume huwa hakosi cha kufanya. Akishindwa sana adownload tinder
 
Ampandishe cheo!

Wanaume mnakuwaje dhaifu hivi? Unanyimwa upo tu?

Mi kaka angu alizabwa kibao na mkewe, jioni akaoa bi mdogo na ni wakristo 😂😂
Ametumia nguvu kubwa sana kuua nzi, Mimi kosa la kuninyima tendo ni kwamba sitoomba tena bali nitakutafutia wasaidizi ila kosa la kunipiga kofi mimi mumeo nitakuteka.
 
Miezi sita mbona michache ndoa ni gharama, Ndio mana Kila siku tukioabtunakumbushwa kutafuta watu sahihi asichoke Bali azidi kuomba lakini pia anawezashirikisha msimamizi wake wa ndoa the wakakaa nae akawapa sababu hawezi nyimwa bila sababu mm nadhani Kuna chanzo hapo kingine miezi sita Kuna another issue
 
Nikioa ni ndoa ya ki mila tu u kristu nitauweka pembeni kwanza
 
Asanteni sana kwa mawazo yenu mazuri .. Nimemuonyesha uzi huu muhanga wa kunyimwa.. Alipoenda kwa mkewe amenipigia simu mkewe ameomba apangiwe ratiba ya tendo hilo ambayo ameahidi kuitimiza.. Hata sijui muhanga wetu ametumia ushauri wa nani ila asanteni wote kwa mawazo yenu..
 
Habarini wajukuu wema na wabaya.. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa..

Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa tendo la ndoa.. Hakuwasikiliza.. Sasa yamemfika.. Anadai kuwa wanaweza kukaa hata miezi sita bila kushiriki tendo hilo.. Na jamaa anapohitaji anaweza kuomba hata wiki ndio apewe tena kwa masimango.. Mara huwezi mara umezeeka nk..

Amejaribu kuzungumza na mkewe bila mafanikio.. Mwanamke anadai hajiskii.. Sasa ananiomba ushauri afanyeje ili ndoa yake idumu na apate tendo la ndoa kama kawaida..??
unatombewa.... akili za facebook hizi
 
H

uyo boya mimi ningekua narudi asubuhi napambania kombe kwa wengine,maisha yenyewe matamu hivi mtu aniletee stress namstress yeye fasta
 
Kama mmeshazaa watoto
tafuta mchepuko wa kukupa mpaka jicho
anakutafuta mwenyewe akiiona pilikapilika za kupeleka pikipiki au gari kwa fundi zimezidi
sio unanyimwa halafu unashinda nyumbani kutwa
 
Kosa lako kubwa Ni kumvalisha mtu mwingine uhusika wakati tatizo Ni lako mwenyewe.

Nakushauri fukuzia mbali hiyo kima vuta chuma kingine.
Mwanamke anayemnyima mumewe tendo Hana tofauti na mchawi.
 
Ampandishe cheo!

Wanaume mnakuwaje dhaifu hivi? Unanyimwa upo tu?

Mi kaka angu alizabwa kibao na mkewe, jioni akaoa bi mdogo na ni wakristo 😂😂

Hapo sasa 😅
 
Back
Top Bottom