Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Mke kasema mumewe ni Mzee na hawezi, ina maana mume hamfikishi...Mume ana 48 mke ana 37
Mwambie jamaa ampelekee moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke kasema mumewe ni Mzee na hawezi, ina maana mume hamfikishi...Mume ana 48 mke ana 37
48yrs old unaombwa kushauriwa vitu kama hivi kweli?!!! Mi nilitegemea kwa umri huo mtu utaomba kushauriwa jinsi ya kukontro business zako ukiwa home or else. Wewe bado unahangaika na ngono kama unamiaka 20+Mume ana 48 mke ana 37
Hana shida nyingine yoyote kuhusu business na kazi zake.. Shida yake ni tendo la ndoa kwa mkewe tu48yrs old unaombwa kushauriwa vitu kama hivi kweli?!!! Mi nilitegemea kwa umri huo mtu utaomba kushauriwa jinsi ya kukontro business zako ukiwa home or else. Wewe bado unahangaika na ngono kama unamiaka 20+
Kiuhalisia hili halipo.Ampandishe cheo ,wanaume mnakuwaje dhaifu hivi??unanyimwa upo tu ??
Mi kaka angu alizabwa kibao na mkewe jioni akaoa bi mdogo na ni wakristo 😂😂
Sasa kaamua kuishi nae official kwan lazima aende kanisani??mke mkubwa anajulikana na mdogo anajulikana hataki aondoke mbona amekuwa mdogo na heshima juu ,na mke mdogo keshajifungua watoyo wawili sasa hakuna cha dini wala ninKiuhalisia hili halipo.
Kuna Ndoa ya mitaala na ndoa ya kikristo.
Ndoa za kimila na za kiislamu unaweza ukaoa mwanamke zaidi ya mmoja.
Ndoa ya kikristo ni mwanamke mmoja. Kama alioa ndoa ya pili ni ndoa batili.
Labda kama umeamua kutufurahisha madam.
wasije wakalaumu sikuwaambia🐒Ngoja nii screenshot hii post yako nimtumie huyu bwana kwa whatsapp kama ilivyo..
Muumini wa kupiga chini...! No kubembelezana...!Piga chini akaibane bane akiwa kwao.....
Nimejaribu kukuelewa nimeshindwa😃.Sasa kaamua kuishi nae official kwan lazima aende kanisani??mke mkubwa anajulikana na mdogo anajulikana hataki aondoke mbona amekuwa mdogo na heshima juu ,na mke mdogo keshajifungua watoyo wawili sasa hakuna cha dini wala nin
Ya kimila hiyo kwani mnashangaa hakuna wakristo wenye wake wawili au watatu???zi za kimila katoa na mahari juu na kaeshazaa nae na mke mkubwa anajua kuja bi mdogo hakuna siriNimejaribu kukuelewa nimeshindwa😃.
Yaani kaka yako ni mkristo yupo ndani ya ndoa ya kikristo, akapigwa kibao Halafu jioni ya siku hiyo akafunga ndoa?
Ya kikristo au ya aina gani?
Kama alifunga ndoa na Mke wa kwanza hilo haliwezekani. ILA kama kaka yako alifunga ndoa ya kimila hilo linawezekana au alibadili dini hilo linawezekana.
Tofauti na hapo Hakuna linalofanyika.
Madam Dejane,Ya kimila hiyo kwani mnashangaa hakuna wakristo wenye wake wawili au watatu???zi za kimila katoa na mahari juu na kaeshazaa nae na mke mkubwa anajua kuja bi mdogo hakuna siri
Hivi hizi stori za kunyimwa huwa zipo kweli au mnatania? Sasa unashindwa kutumia nguvu?
Sasa sisi anatambulika ni mke wachana na dini zenu 😂😂😂 kama angekuwa ana ubavu mke mkubwa angeondoka yupooMadam Dejane,
Ni hivi. Kama Kaka yako alifunga ndoa kanisani na mwanamke wa kwanza Halafu akaenda kufunga ndoa ya kimila jioni ya siku hiyo baada ya kupigwa kibao na mkewe. Kisheria ndoa ya pili ni batili na haipo.
Hakuna wanaume wenye ndoa ya kikristo aliye na mke zaidi ya mmoja.
ILA wapo wanaume wenye ndoa ya kikristo wenye wanawake wengi na Mke mmoja.
Hapa nimeeleweka?
Sasa hivi Gadner yupo peke yake pale hospitalNDOA NI AINA YA MAUAJI YA KIMWILI, KIROHO NA KIUCHUMI YALIYOHALALISHWA NA KIKUNDI FULANI HIVI CHA WAHUNI.
KATAA NDOA,, KATAA NDOA,, KATAA NDOA.