Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana.
Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.