nywele moja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 251
- 349
Kula Ivo Ivo....ilimradi usife njaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio mke afanye nini? Kuzaa tu.Sasa si upike mwenyewe kama yeye hawezi, maisha ni kusaidiana bhana
Sio kila mtu ameumbiwa upishi aseee!
Mnunulie vifaa vizuri vya kupikiaMke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana.
Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
Piga chiniMke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana.
Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mke asiye jua kupika hapana kwa kweli, ina maana mkuu uliingia kichwa kichwa bila "pre season"
Samahani naomba kufahamu. Huu uzi wako unahusiana na namna kina Mwigulu wanavyouunguza uchumi wetu na hawaambiliki? Au uzi unahusu mama watoto wako ambaye ameshapata kidumu chake pembeni na sasa anasaka sababu umtimue?Mke wangu ananipikia chakula kilichoungua kila siku. Nimejaribu kumfundisha lakini amekuwa mkaidi kufuata maelekezo yangu. Hataki kufundishwa wala kuelekezwa chochote. Kama mnavyofahamu vyakula ni gharama sana.
Imekuwa kama nateketeza pesa zangu kwa kumwaga vyakula vilivyoungua kila siku. Amekuwa akikoroga wali hata mara 10 na ninapomwelekeza anakuwa jeuri. Moto wa gesi anawasha kama anataka kuchoma sufuria na sio kupika chakula, Sasa nataka ushauri nimrudishe kwao ama lah.
Sasa mtu ana 30+ hajui kupika, huo ni mzigoKupika kunafundishika.. ongea naye kwa upole.
Nadhani solution nzuri ni kumpeleka shule ya mapishi, siku house girl wa kitanga asipokuwepo itakuaje?Jf Raha Sana yaani nimecheka Sana eti anakoroga wali mala kumi!! Pole Sana mkuu huo ndo mzigo wako ubebe tu mkuu! Hata sisi tunamizigo yetu tumenyuti tunaibeba kimyakimya, hata hivyo tatizo dogo tu Hilo we tafuta house girl wa kitanga awe anakupikia misosi mitamu! huyo mkeo mwachie jukumu la kukupa utelezi tu na kuzaa watoto.