Mke anaunguza chakula kila siku

"Nitakuwa nawe kwenye shida na raha" shika huo mwiko kalisha kalio chini Mzee[emoji23]
 
Duuh kupika mbona simple sana? Ina maana wazazi/walezi hawakumfundisha?
 
Mnunulie vifaa vizuri vya kupikia
 
Piga chini
 
Hivi nyie wangese hamnaga hasira za ghafla umshushie mbata kadhaa kwanza za papo kwa hapo....Mimi mademu tu nawafyatua mbata sana na hawaniachi wananiambiaga Nina mkono mwepesi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Samahani naomba kufahamu. Huu uzi wako unahusiana na namna kina Mwigulu wanavyouunguza uchumi wetu na hawaambiliki? Au uzi unahusu mama watoto wako ambaye ameshapata kidumu chake pembeni na sasa anasaka sababu umtimue?

Nisaidie hapo ili niweze kukushauri
 
ukirudi nyumbanin weye lia tyuuuuu!! akubembelezeje weelia tuuuu!!.....utaona kitu!
 
Sasa aliyekwambia uoe tako ni nani? Si ulisema mwanamke uzuri, akili mtatumia za kwako, tumieni sasa [emoji28][emoji28]
 
Mwambie aingie you tube kuna cooking class za kila chakula
 
Nadhani solution nzuri ni kumpeleka shule ya mapishi, siku house girl wa kitanga asipokuwepo itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…