Mke asimulia alivyompoteza mume wake vurugu za Oktoba 29,2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo, wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na walioharibiwa mali zao wameeleza mambo waliyokumbana nayo.

Veronica Limo (37), mkazi wa Magomeni Kagera, mjasiriamali wa upambaji kwenye sherehe, amesema yeye akiwa mapumzikoni nyumbani kwake siku ya uchaguzi huo, mume wake alipigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha.

"Mume wangu tulikuwa naye, akasema ngoja nitoke kidogo, nilipoivisha chakula nataka nimuite aje ale napiga simu hapokei, baadaye kapokea kijana mwingine akasema mwenye simu hii amepigwa risasi hapa.

"Nilitoka nikamkuta anahali mbaya sana amepigwa risasi yupo chini, tukampeleka Mwananyamala, nilipofika Mume wangu najua kabisa yupo hai ila daktari akaniambia nenda wodi namba nne, nilipoenda nikakuta mume wangu ameshakufa.

"Daktari akasema nimethibitisha mume wako amekufa maana amepigwa risasi ya tumbo imefika kwenye mapafu," amesema huku akilia.

Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
 
Pole zake huyo mjane
 
Jinga lao funaku vipi hii Nairobi napo kuna sehemu inaitwa Magomeni Kagera??

Wewe zezeta pia kavulata vipi hapo je Heche ndio alitokea gerezani alipofichwa na policcm kuja kupiga watu risaso hiyo siku hadi useme CHADEMA iombe radhi?
 
Shetani Mange aliwahamasisha wafuasi wake wakafanye uhalifu huku akiwaambia hata wakiwaua hawawezi kuwaua wengi. Mange na Maria wana damu za watu.
 
Pole sana kwake kwa kuondokewa na mme wake!, Mungu amfanyie wepesi yeye pamoja na wengine waliopatwa na majanga ya mo29.
 
Veronica ana 37 obviously mumewe alikuwa na 40/42 mtoto wao wa mwisho kama mkubwa sana basi ana miaka sita wa pili nane wa kwanza 12 so unaweza ukaona jinsi tamaa za madaraka zinavyowatoa watu utu,mwenzako anabaki mjane watoto wanakuwa mayatima.

Tanzania hii haikuwa na haja ya kuingia maghala ya silaha kuchukua chuma kwenda kuuwa watu (hata kama kweli walikuwa wanaandamana) hakuna sababu ya kwanini haya yalitokea,yaani huwezi ukamueleza mtu mwenye akili timamu akakuelewa.
 
Back
Top Bottom