Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Kama mke wako sio mjita, mmburu, nyamwezi, watu wa visiwa vya victoria, basi sijui..

"MJOMBA, UWE UNAKUJA KUTUTEMBELEA HUKO MASHAMBANI"
dd8e06f21f365654d8eb9a51c4127256 (1).jpg
 
Ndugu kama hajaja kwa jambo la ulazima masomo,kutibiwa,kazi asepe arudi kwao kusalimia mwisho wiki moja akikaa sana mwezi mmoja unamtosha, vinginevyo hatutaelewana
Ndugu alikuja kukaa nae likizo ya shule Ile yakumaliza shule ya miezi3 ...tumekaa nae miezi3 Sasa anatokea nyumbani kwangu nawazazi wake wote wapo hai Sasa mke unamuhoji ananuna anakwambia mbona mfanyakazi wandani ye anakaa kwanin ndugu yake wa damu asikae nabakia kumshamgaa tu
 
Back
Top Bottom