Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Pole sana, wakati najenga nyuma,sebule yangu nilii plan vzr jinsi nitakavokuwa najiachia...huwezi amini, nilinunua Tv nyingine nikawa naangalizia chumbani,sebuleni wamejaa ndugu zake,beki tatu...Yani tofauti na plan zangu.

Ila nna jamaa yangu,ndugu hawaendi kwake,kuna kazi nyingi za hapa na pale hakuna kurelax,hawaendi.jaribu na wewe.
 
Kuna mshua mmoja namjua, huyo ukienda kwake lazima akuulize utakaa siku ngapi.

Yeye akirudi usiku kutoka mishe zake, mkiwa mmekaa labda unampa taarifa za kijijini zinaendaje, lazima utakutana na swali. Unakaa siku ngapi?
 
Back
Top Bottom