Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Binafsi utaratibu wangu ni hivi, ndugu yangu yoyote akitaka kuja kusalimia, pamoja na kuniambia mimi(optional), awasiliane na mke wangu kumjulisha ujui wake. Haiwezekani ndugu yangu aje bila kumtaarifu my wife wangu...same kwa upande wake, lazima nijue. Huwezi kuifanya nyumba kama lodge watu wanakuja tu kusepa bila taarifa.
 
Mm chakula kipo wakupika hannah nipo ukwamani

Mlete nikutunzie 😋😋
 
Nimwanafuzi na bahati mbaya mim Sina kazi zozote zaid ya kazi za nyumbani ambapo mfanyakazi yupo
Hapo unatakiwa kuonyesha nafasi yako ya u-baba kwenye familia. Mwambie asaidiane na msichana wa kazi, haijalishi kama mfanyakazi unalimpa yeye haumlipi. Utamsaidia kujifunza mambo mbalimbali yatakayo kuwa msaada hapo baadae kwenye familia yake. Atakukumbuka sanaa, ni baadhi ya watu tuu ndiyo ambayo walifanikiwa kutoka nyumbani na moja kwa moja kuanzisha maisha yao lakini tulio wengi tumepita kwenye nyumba za watu hata kama ni nyumba moja huko unapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali.
 
Uwepo wake hapo unakuathiri kwa namna gani?...jinsia na umri wa mgeni?...pia aina ya undugu kati yake na mgeni?...tuanzie hapo please!!!
 
Hapo unatakiwa kuonyesha nafasi yako ya u-baba kwenye familia. Mwambie asaidiane na msichana wa kazi, haijalishi kama mfanyakazi unalimpa yeye haumlipi. Utamsaidia kujifunza mambo mbalimbali yatakayo kuwa msaada hapo baadae kwenye familia yake. Atakukumbuka sanaa, ni baadhi ya watu tuu ndiyo ambayo walifanikiwa kutoka nyumbani na moja kwa moja kuanzisha maisha yao lakini tulio wengi tumepita kwenye nyumba za watu hata kama ni nyumba moja huko unapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali.
Binti amekua niwakumuendesha bint wakazi
 
Back
Top Bottom