Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio yenyewe kabisa.Kama ni wa kike, anza kuzurula na boxer nyepesi hapo kwako, hakikisha kende zinachungulia. Kama ni wa kiume msugue dada yake mpaka awe anatoa ukunga wa kusikika nje.
Mbona simple tuu...sii unasema haya tafuta mfanya kazi wakuja na kuondokaNdugu alikuja kukaa nae likizo ya shule Ile yakumaliza shule ya miezi3 ...tumekaa nae miezi3 Sasa anatokea nyumbani kwangu nawazazi wake wote wapo hai Sasa mke unamuhoji ananuna anakwambia mbona mfanyakazi wandani ye anakaa kwanin ndugu yake wa damu asikae nabakia kumshamgaa tu
Msogeze karibu shopping kwa wingi plus chips kuku, mkeo atakusaidia kuongea na utakuja nishukuru baadae!!Ndio niwakike wamiaka15
Basi na wwe leta ndg zako,tena kama una madada ndiyo itakua poa waje wamchangamshe wifi yao!!Mke anakwambia kama mfanyakazi wa ndani anakaa kwanini ndugu yake asikae
😂😂😂😂Waondoke kwenda wapi
Ukitaka kuwafukuza ndugu kuwe na kazi nyingiii wataondoka atakaebaki huyo mchapakazi ni faidaPole sana, wakati najenga nyuma,sebule yangu nilii plan vzr jinsi nitakavokuwa najiachia...huwezi amini, nilinunua Tv nyingine nikawa naangalizia chumbani,sebuleni wamejaa ndugu zake,beki tatu...Yani tofauti na plan zangu.
Ila nna jamaa yangu,ndugu hawaendi kwake,kuna kazi nyingi za hapa na pale hakuna kurelax,hawaendi.jaribu na wewe.
Huyo mkeo uwezo wake wa kureason upo chini sana.Ndugu alikuja kukaa nae likizo ya shule Ile yakumaliza shule ya miezi3 ...tumekaa nae miezi3 Sasa anatokea nyumbani kwangu nawazazi wake wote wapo hai Sasa mke unamuhoji ananuna anakwambia mbona mfanyakazi wandani ye anakaa kwanin ndugu yake wa damu asikae nabakia kumshamgaa tu
Yani wajue ukienda pale kila kitu kipo ila kazi kazi toka asub ni Bize.Ukitaka kuwafukuza ndugu kuwe na kazi nyingiii wataondoka atakaebaki huyo mchapakazi ni faida
Ndio.alafu Sasa anatangaza kuwa nimewafukuzaHapo mke wako ndio katoa ruksa
Mkuu ajabu mke anaanza kupiga sm kwandugu zake kuwa huyo mtoto wao namfukuza..wakati hata alipowaleta hakunishirikishaYani wajue ukienda pale kila kitu kipo ila kazi kazi toka asub ni Bize.
AiseeKama ni wa kike, anza kuzurula na boxer nyepesi hapo kwako, hakikisha kende zinachungulia. Kama ni wa kiume msugue dada yake mpaka awe anatoa ukunga wa kusikika nje.
Mkuu mke ni kama akili zake hazimtoshi vizur...Huyo mkeo uwezo wake wa kureason upo chini sana.
Wakuu kabla hamjaoa jitahidini sana kuwapigisha story za kina Lissu, Kinana, Halima, Zitto nk mpime uwezo wao wa kufikiri.
Ona huyu jamaa alivyojibiwa.
Pole sana ndugu, inaboa sana.Mkuu ajabu mke anaanza kupiga sm kwandugu zake kuwa huyo mtoto wao namfukuza..wakati hata alipowaleta hakunishirikisha
Inaboa mno...alafu mtu analia kabisa...yaan kwake nibora mara elfu awaridhishe ndugu wamuone wamaana sana...Cha ajabu Sasa kwao mpaka wanakua wazazi wake hawajawahi kukaa na ndugu yoyote zaid ya watoto wao ambao ndo huyu mke na kaka zake na dada zake..kukaa ndugu kwao isipokua kwa sababu maalumu...Cha ajabu Sasa yeye mke ndo analazimisha kufurahisha nduguPole sana ndugu, inaboa sana.
Sasa kama kwao tu mpaka wanakua kuwa nafamilia zao wazazi wao tu hawajahi kukaa na ndugu na wanandugu wengi iweje yeye ndo awe nahuruma sana kulea watoto wandugu zake Hali wazazi wapo namajukumu Yao hawajatenganaKwani shule ada unamlipia wewe?
Chakula tu kinakutoa roho? Akiumwa wapigie simu wazazi wake watume pesa ya matibabu.