Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Pole sana,naelewa unachopitia cuz pia yalinikuta,tupo mimi,yeye na first born wetu na dada wa kazi,ndugu zake nikawa naona wanaongezeka tu,katika umri wa miaka 27 nilikua na watu home tisa...baadae akaanza sema nimetembea na mdogo wake aliemleta,Yani basi tu ... Jiongeze kidogo mkuuInaboa mno...alafu mtu analia kabisa...yaan kwake nibora mara elfu awaridhishe ndugu wamuone wamaana sana...Cha ajabu Sasa kwao mpaka wanakua wazazi wake hawajawahi kukaa na ndugu yoyote zaid ya watoto wao ambao ndo huyu mke na kaka zake na dada zake..kukaa ndugu kwao isipokua kwa sababu maalumu...Cha ajabu Sasa yeye mke ndo analazimisha kufurahisha ndugu