Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Hoja ni kwamba kwanini akilalamika mwanaume inaonekana ni sawa ila akilalamika mwanamke inaonekana ana roho mbaya, kwahiyo unataka kusema mke akitaka housegirl na hapo hapo bado anataka kuhudumiwa basi mume anakubali na kutekeleza yote hayo kirahisi tu, ni wanaume wa wapi hao na kama wapo wanaofanya hivyo sasa hapo nani mjinga na wa kulaumiwa kati ya mke au mume

Ndio nikakupa hoja ni kuwa,
Wanaume wengi wao ndio wazalishaji wa Mali na chakula (independent factor) wakati Wanawake wengi(Wamama) sio wazalishaji ni kama WA Nyumbani(dependent factor)

Hivyo anayezalisha ndiye mhimili na tegemeo la familia hivyo kama akiongezeka mtu kwenye familia anayetakiwa kulalamika ni Yule anayebeba Familia.

Ni Sawa uniulize, mbona single mothers ndio wanalaumiwa na sio single Fathers?

Ili uulize swali Hilo itakupasa uwe na akili ndogo au kipofu au kiziwi ili usijue mambo madogo kama hayo ya independent variables na Dependent variables

Single mothers wengi ni dependent variables wao wanataka walishwe na kuhudumiwa wao na watoto wao. Hii ni tofauti na single Fathers ambao wao wengi wao ndio watoa mahitaji na huduma.

Ndio nikakuambia, tatizo UPEO MDOGO alafu unajifanya MJUAJI kumbe uelewa mdogo.

Uzoefu wangu unanionyesha kuwa Wanawake wengi ambao ni feminists 90%
1. Wana upeo MDOGO hata kama angekuwa na elimu kubwa.
2. Wana athari mbaya ya kisaikolojia inayotokana na maumbile Yao kutokuwa ya kike
3. Wana athari mbaya ya kisaikolojia inayotokana na kutolelewa na Baba, ikiwa ni pamoja na kutelekezwa na Baba au kutendewa ukatili na wanaume.

Nadra Sana umkute Feminists asiye na sifa tajwa hapo juu. Chunguza
 
Hiyo hoja umeirudia na nilishaijibu kwamba hata mwanamke naye ana sababu za kulalamika, kwa sababu kwenye familia nyingi mama ndiye hufanya kazi za nyumbani, na mara nyingi ndugu wa mume wakiwepo huwa hawasaidii hizo kazi

Na baada ya hapo sijaona hoja yoyote ya maana uliyojibu zaidi ya kuleta porojo tu, mara ghafla ukarukia kwenye propaganda zenu za kila siku kuhusu single mothers na feminists, as if mliambiwa mkisema hivo ndio tutaogopa na tutaacha kuwaeleza ukweli

Watu kama ninyi mkikaliwa kimya ndio huwa mnajiona mna akili na mnajua kila kitu, kwahiyo kuna wakati inabidi tuwajibu kama hivi ili mjijue uwezo wenu halisi wa kujenga hoja, hasa wewe ambaye mara nyingi huwa una biasness unapojadili haya masuala ya jinsia na mahusiano kwa ujumla

Na matokeo yake ndio kama hivi mnaishiwa hoja na kuanza kutoka nje ya mada kwa kuleta ad hominem attacks ili mjifariji, na kutumia kama defensive mechanism ili mpinzani wako ajisikie vibaya aache kujibishana na wewe, sasa kwa bahati mbaya mkikutana na watu wenye low self esteem au ambao kauli zenu ni ukweli mchungu kwao wanakuwa tongue tied so wanaback down

Lakini sisi ambao tumeshazizoea hizo kauli zenu za kujifariji na tunajijua hatuna hizo sifa mbaya hatuwezi kuumia wala kujisikia vibaya, wala kuacha kuwajibu wajuaji kama ninyi mnaodanganywa kuwa mna akili na mnajua kila kitu kumbe ukweli ni kwamba hamjawa challenged tu, so acha kujihami ndugu yangu jitahidi kustick kwenye mada hizo porojo zako kuhusu feminism ni dalili ya kuishiwa hoja
 
Acha uchoyo acha ndugu wa mkeo wafaidi, acha wajinafasi, nunua mapochopocho wale na vinjwaji visipungue kwa friji. Ukiishiwa nenda kwa Nabii mkuu upewe fedha na ghari ujigaragaze kama Bwana Mashimo
 
Hiyo hoja umeirudia na nilishaijibu kwamba hata mwanamke naye ana sababu za kulalamika, kwa sababu kwenye familia nyingi mama ndiye hufanya kazi za nyumbani, na mara nyingi ndugu wa mume wakiwepo huwa hawasaidii hizo kazi.
Kama wewe upo ndani ya Mada, hoja ya kusema ndugu wa Mume wakiwepo, je kwenye Mada hii ni ndugu wa upande upi wapo nyumbani kwa Mtoa Mada?

Na baada ya hapo sijaona hoja yoyote ya maana uliyojibu zaidi ya kuleta porojo tu, mara ghafla ukarukia kwenye propaganda zenu za kila siku kuhusu single mothers na feminists, as if mliambiwa mkisema hivo ndio tutaogopa na tutaacha kuwaeleza ukweli
Ukweli upi?
Kwamba single mother sio tatizo la kidunia?
Au kwamba ninyi feminists hamna sifa nilizozitaja hapo juu?

Watu kama ninyi mkikaliwa kimya ndio huwa mnajiona mna akili na mnajua kila kitu, kwahiyo kuna wakati inabidi tuwajibu kama hivi ili mjijue uwezo wenu halisi wa kujenga hoja, hasa wewe ambaye mara nyingi huwa una biasness unapojadili haya masuala ya jinsia na mahusiano kwa ujumla

Hatukatai mtu kutoa Majibu lakini Majibu ya kijinga na yasiyo na kichwa Wala miguu ndio yanawatufanya tuwaone UPEO MDOGO

Na matokeo yake ndio kama hivi mnaishiwa hoja na kuanza kutoka nje ya mada kwa kuleta ad hominem attacks ili mjifariji, na kutumia kama defensive mechanism ili mpinzani wako ajisikie vibaya aache kujibishana na wewe, sasa kwa bahati mbaya mkikutana na watu wenye low self esteem au ambao kauli zenu ni ukweli mchungu kwao wanakuwa tongue tied so wanaback down

Nishakuambia feminist na watu aina yako asilimia 90% Mko na sifa nilizozitaja pale hivyo Wala kwangu sio ajabu. Yaani kukaa nyuma ya ID fake hakuondoi uhalisia wako kwa baadhi ya Tabia.
Unasema kuhusu Low self esteem, tunajua Feminists wengi mpo na matatizo ya kisaikolojia yalitokana na athari nilizokwisha kuzitaja hapo juu. Hivyo hiki unachokijadili ukidhani Unajiamini wakati umechanganyikiwa.

Lakini sisi ambao tumeshazizoea hizo kauli zenu za kujifariji na tunajijua hatuna hizo sifa mbaya hatuwezi kuumia wala kujisikia vibaya, wala kuacha kuwajibu wajuaji kama ninyi mnaodanganywa kuwa mna akili na mnajua kila kitu kumbe ukweli ni kwamba hamjawa challenged tu, so acha kujihami ndugu yangu jitahidi kustick kwenye mada hizo porojo zako kuhusu feminism ni dalili ya kuishiwa hoja

Sipo kukuumiza kwamba nikisema Jambo uumie. Ingawaje mara nyingi ukweli unaumiza. Na nipo kwaajili ya kusema huo UKWELI ambao ninyi hamuutaki. Na ukisemwa mnadai mnaumizwa na kujisikia vibaya.

Unge-stick kwenye Mada usingetaja mambo ya ndugu wa Mume ambao hawapo kwenye Mada hii. Mad inahusu ndugu wa Mke kuhamia kwa Mtoa Mada.

Narudia, watu aina yenu mnahitaji msaada WA kisaikolojia na upendo ili maumivu mliyonayo mpone.
 
Kama wewe upo ndani ya Mada, hoja ya kusema ndugu wa Mume wakiwepo, je kwenye Mada hii ni ndugu wa upande upi wapo nyumbani kwa Mtoa Mada?
Yani wewe unachekesha kweli sasa kama uliona nilitoka nje ya mada kwanini hukusema haya toka mwanzo, yani kote huko umeniquote vizuri tu ila tumefika hapa baada ya kuona umeishiwa hoja ndio unakumbuka saa hizi kwamba nimetoka nje ya mada, na clearly wala sijatoka nje ya mada ila wewe uliyeleta habari za single mothers na feminists ndio umetoka nje ya mada labda uoneshe uhusiano wa hizo terminologies na mada husika
Ukweli upi?
Kwamba single mother sio tatizo la kidunia?
Au kwamba ninyi feminists hamna sifa nilizozitaja hapo juu?
Hebu nioneshe hayo matatizo ya single mothers ya kidunia yani mnachonichekesha ni kuona kwamba single mothers ni shida ila single fathers siyo shida halafu mnatumia cheap propaganda kutetea huo uongo wenu, mnaposema single mothers ni tatizo kwani hao single mothers wanafanya na wanazaa na kina nani yani tendo linalohusisha jinsia mbili linakuwaje kosa kwa jinsia moja halafu hapo hapo likawa sawa kwa jinsia nyingine ni logic ya wapi hiyo, wanaume huwa mnajisifu kwamba mnatumia logic na siyo hisia lakini kuna kauli zenu nyingine zinawaumbua kwani ukifikiria kiundani hazina logic yoyote bali mihemko tu halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kujificha kwenye kichaka cha feminism na kudai eti wanawake wanashindana na nyie
Hatukatai mtu kutoa Majibu lakini Majibu ya kijinga na yasiyo na kichwa Wala miguu ndio yanawatufanya tuwaone UPEO MDOGO
Kati ya mimi na wewe nani ambaye majibu yake hayana kichwa wala miguu, mimi nimekuambia nioneshe hoja yako hata moja inayoonesha upeo wako mkubwa mpaka sasa unarukaruka tu kama bisi kikaangoni, hebu acha janjajanja ya kutafuta vichaka vya kujifichia jibu hoja iliyoko mezani
Nishakuambia feminist na watu aina yako asilimia 90% Mko na sifa nilizozitaja pale hivyo Wala kwangu sio ajabu. Yaani kukaa nyuma ya ID fake hakuondoi uhalisia wako kwa baadhi ya Tabia.
Unasema kuhusu Low self esteem, tunajua Feminists wengi mpo na matatizo ya kisaikolojia yalitokana na athari nilizokwisha kuzitaja hapo juu. Hivyo hiki unachokijadili ukidhani Unajiamini wakati umechanganyikiwa.
Ofcourse najiamini kwa sababu najuana na watu wengi nje ya jf ambao wanazijua tabia zangu vizuri kabisa hivyo sinaga haja ya kuficha uhalisia wangu, yani angepatikana hata mmoja anayenijua halafu akakuambia jinsi nilivyo nje ya hapa bila shaka utabaki uchi na utakosa tena cha kujibu maana kwa sasa naona kichaka pekee ulichojifichia ndio hicho, au kama vipi acha na mimi niconclude kuwa kulingana na mada zako hata wewe unaonekana una matatizo ya akili na msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa pesa ndio maana hasira zako unakuja kuwamalizia wanawake kwenye mada kama hizi
Sipo kukuumiza kwamba nikisema Jambo uumie. Ingawaje mara nyingi ukweli unaumiza. Na nipo kwaajili ya kusema huo UKWELI ambao ninyi hamuutaki. Na ukisemwa mnadai mnaumizwa na kujisikia vibaya.

Unge-stick kwenye Mada usingetaja mambo ya ndugu wa Mume ambao hawapo kwenye Mada hii. Mad inahusu ndugu wa Mke kuhamia kwa Mtoa Mada.

Narudia, watu aina yenu mnahitaji msaada WA kisaikolojia na upendo ili maumivu mliyonayo mpone.
Masikini yani bado unajifariji tu kupitia mimi inaonekana ukitumia hizi misogynistic personal attacks ndio inakuondolea hayo maumivu uliyonayo so with all due respect wewe ndiye unayehitaji msaada wa kisaikolojia hapa, yani inavyoonesha ni kama ulikuwa na dukuduku lako moyoni kuhusu wanawake ukawa unatafuta pa kulitolea matokeo yake umekuja kulitoa kwenye mada ambayo haihusiani, sawa sasa hiki kichaka nakifyeka rasmi nataka urudi kwenye mada kama kweli una hoja yani sitakujibu tena hizo ngonjera zako kuhusu mimi, we niite majina yote unayoyajua maana huna uthibitisho wowote juu ya hizo porojo zako zaidi ya kuleta ujuaji wako wa kujikuta mwanasaikolojia uchwara, maana yote uliyoropoka huko juu ni sawa na kusema kwamba unahisi mimi ni mlemavu kwa sababu napenda sana kuwatetea walemavu which is a lame argument and there is nothing to discuss about so we rudi tu kwenye mada
 
Yani wewe unachekesha kweli sasa kama uliona nilitoka nje ya mada kwanini hukusema haya toka mwanzo, yani kote huko umeniquote vizuri tu ila tumefika hapa baada ya kuona umeishiwa hoja ndio unakumbuka saa hizi kwamba nimetoka nje ya mada, na clearly wala sijatoka nje ya mada ila wewe uliyeleta habari za single mothers na feminists ndio umetoka nje ya mada labda uoneshe uhusiano wa hizo terminologies na mada

Kwa nini niseme umetoka Nje ya mada wakati kwangu sio tatizo?
Mimi nilikuwa nakuambia wewe unataka tusitoke nje ya mada ilihali wewe mwenyewe umetoka. Ingawaje kwangu sio tatizo

Ila kwako umeona ni tatizo.

Mada inahusu ndugu za Mke kuhamia kwa Mume(Mtoa Mada) wewe ukaleta ishu ya kama ingekuwa Ndugu wa Mume ndio wamehamia jambo ambalo ni Nje ya mada. Hiyo Mada ungeweza kuanzisha uzi wako.
husika

Hebu nioneshe hayo matatizo ya single mothers ya kidunia yani mnachonichekesha ni kuona kwamba single mothers ni shida ila single fathers siyo shida halafu mnatumia cheap propaganda kutetea huo uongo wenu, mnaposema single mothers ni tatizo kwani hao single mothers wanafanya na wanazaa na kina nani yani tendo linalohusisha jinsia mbili linakuwaje kosa kwa jinsia moja halafu hapo hapo likawa sawa kwa jinsia nyingine ni logic ya wapi hiyo, wanaume huwa mnajisifu kwamba mnatumia logic na siyo hisia lakini kuna kauli zenu nyingine zinawaumbua kwani ukifikiria kiundani hazina logic yoyote bali mihemko tu halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kujificha kwenye kichaka cha feminism na kudai eti wanawake wanashindana na nyie

Sasa kama hujui Single mother ni Mada mtambuka Duniani Basi hata hako kaelimu ulikokapata hakakusaidii.

Kati ya mimi na wewe nani ambaye majibu yake hayana kichwa wala miguu, mimi nimekuambia nioneshe hoja yako hata moja inayoonesha upeo wako mkubwa mpaka sasa unarukaruka tu kama bisi kikaangoni, hebu acha janjajanja ya kutafuta vichaka vya kujifichia jibu hoja iliyoko mezani

Ofcourse najiamini kwa sababu najuana na watu wengi nje ya jf ambao wanazijua tabia zangu vizuri kabisa hivyo sinaga haja ya kuficha uhalisia wangu, yani angepatikana hata mmoja anayenijua halafu akakuambia jinsi nilivyo nje ya hapa bila shaka utabaki uchi na utakosa tena cha kujibu maana kwa sasa naona kichaka pekee ulichojifichia ndio hicho, au kama vipi acha na mimi niconclude kuwa kulingana na mada zako hata wewe unaonekana una matatizo ya akili na msongo wa mawazo kwa sababu ya kukosa pesa ndio maana hasira zako unakuja kuwamalizia wanawake kwenye mada kama hizi
Maneno yako yananithibitishia Yale mambo matatu niliyoyataja tangu mwanzo
Sihitaji kukuona mubashara kukufahamu, watu aina yako ninawajua hata nisipokutana na ninyi live. Hivyo hao unaosema wanakujua haipunguzi ukweli kwenye zile sifa Tatu nilizozitaja kuwa unazo au Mojawapo unayo.

Masikini yani bado unajifariji tu kupitia mimi inaonekana ukitumia hizi misogynistic personal attacks ndio inakuondolea hayo maumivu uliyonayo so with all due respect wewe ndiye unayehitaji msaada wa kisaikolojia hapa, yani inavyoonesha ni kama ulikuwa na dukuduku lako moyoni kuhusu wanawake ukawa unatafuta pa kulitolea matokeo yake umekuja kulitoa kwenye mada ambayo haihusiani, sawa sasa hiki kichaka nakifyeka rasmi nataka urudi kwenye mada kama kweli una hoja yani sitakujibu tena hizo ngonjera zako kuhusu mimi, we niite majina yote unayoyajua maana huna uthibitisho wowote juu ya hizo porojo zako zaidi ya kuleta ujuaji wako wa kujikuta mwanasaikolojia uchwara, maana yote uliyoropoka huko juu ni sawa na kusema kwamba unahisi mimi ni mlemavu kwa sababu napenda sana kuwatetea walemavu which is a lame argument and there is nothing to discuss about so we rudi tu kwenye mada

Wewe ungekuwa unawatetea hao wanawake ungeanza kwa Kutafuta Daktari akusaidie kutibu tatizo ulilonalo na kisaikolojia.
Kwa sasa u Mgonjwa na hujui kuwa umgonjwa.

Nimekuambia watu aina yako ni kama kina Joyce Kiria, mnahitaji msaada wa kisaikolojia.
Hata hivyo matibabu sio lazima
 
Kwa nini niseme umetoka Nje ya mada wakati kwangu sio tatizo?
Mimi nilikuwa nakuambia wewe unataka tusitoke nje ya mada ilihali wewe mwenyewe umetoka. Ingawaje kwangu sio tatizo

Ila kwako umeona ni tatizo.

Mada inahusu ndugu za Mke kuhamia kwa Mume(Mtoa Mada) wewe ukaleta ishu ya kama ingekuwa Ndugu wa Mume ndio wamehamia jambo ambalo ni Nje ya mada. Hiyo Mada ungeweza kuanzisha uzi wako.
Hivi ni kwamba unafanya makusudi au ndio umeishiwa hoja hadi umeamua kujitoa ufahamu kuandika uongo, hivi unajua maana ya kutoka nje ya mada kweli, mbona kama hata hizo akili kidogo nilizodhani unazo naona kama na zenyewe hazipo kabisa

Mimi sijatoka nje ya mada nilichofanya nimeizungumzia mada husika ila katika mazingira tofauti, sijataka kumzungumzia mtoa mada ila nimetaka kuizungumzia mada yenyewe hebu acha kukaza fuvu, na hilo siyo tatizo ndio maana hata mods huunganisha nyuzi pale wapoona mada zinaelekeana

Mwanamke kulalamikia ndugu wa mumewe haina tofauti na mwanaume kulalamikia ndugu wa mkewe ndio maana nikauliza kwanini iwe tatizo kwa mwanamke kufanya hivyo ila iwe sawa kwa mwanaume, ukasema kwa sababu mwanaume ndiye mtafutaji nami nikakuambia hata mwanamke ndiye msimazi wa nyumba, kwahiyo kama mnaona ni haki kila mtu kulalamikia ndugu wa mwenzie basi hiyo haki iwe kwa wote

Hata kama sababu zao ni tofauti basi isionekane sababu moja ndio ina mashiko halafu nyingine inaonekana ya kijinga, maana hiyo sababu ambayo wewe unaona ya maana kwa mwingine inaweza ikawa ya kipumbavu na sababu unayoona ya kipumbavu kwa mwingine inaweza kuwa ya maana, sasa sijui ni kwa misingi gani utake sababu yako tu ndio ionekane ina mashiko ila ya wengine ionekane ya kijinga kisa tu haiendani na mitazamo yako

Sasa wewe ghafla ukaja na porojo zako za single mothers na feminists mara ukaanza kunitajia sifa zangu na kuongelea maisha yangu, kana kwamba unanijua na una uthibitisho haya niambie hayo yote yanahusiana nini na mada husika, mimi nimeshakuelezea namna hoja yangu inavyohusiana na mada maana naona uelewa wako mdogo na wewe elezea huo uhusiano uliopo hapo acha kuzuga
Sasa kama hujui Single mother ni Mada mtambuka Duniani Basi hata hako kaelimu ulikokapata hakakusaidii.
Hebu jibu hoja basi umesema single mothers ni tatizo la kidunia, ndio nataka uelezee ni kwa namna gani wao ni tatizo, huku wanaume waliowazalisha na kuwatelekeza siyo tatizo
Maneno yako yananithibitishia Yale mambo matatu niliyoyataja tangu mwanzo
Sihitaji kukuona mubashara kukufahamu, watu aina yako ninawajua hata nisipokutana na ninyi live. Hivyo hao unaosema wanakujua haipunguzi ukweli kwenye zile sifa Tatu nilizozitaja kuwa unazo au Mojawapo unayo.

Wewe ungekuwa unawatetea hao wanawake ungeanza kwa Kutafuta Daktari akusaidie kutibu tatizo ulilonalo na kisaikolojia.
Kwa sasa u Mgonjwa na hujui kuwa umgonjwa.

Nimekuambia watu aina yako ni kama kina Joyce Kiria, mnahitaji msaada wa kisaikolojia.
Hata hivyo matibabu sio lazima
Sawa we endelea kuwatafuta wagonjwa wenzako wenye matatizo ya kisaikolojia labda ukiona mko wengi ndio inakupa faraja ndio maana unalazimisha kila mtu awe na matatizo kama yako, ila nakushauri ungeanza kudeal na matatizo ya kisaikolojia waliyonayo misogynists wenzio kama kina Andrew Tate kabla ya kuhangaika na hao feminists kina Joyce Kiria, bado nasisitiza rudi kwenye mada haya mambo ya feminism yamekuzidi uwezo sababu hata maana tu ya feminism huijui
 
Hivi ni kwamba unafanya makusudi au ndio umeishiwa hoja hadi umeamua kujitoa ufahamu kuandika uongo, hivi unajua maana ya kutoka nje ya mada kweli, mbona kama hata hizo akili kidogo nilizodhani unazo naona kama na zenyewe hazipo kabisa

Mimi sijatoka nje ya mada nilichofanya nimeizungumzia mada husika ila katika mazingira tofauti, sijataka kumzungumzia mtoa mada ila nimetaka kuizungumzia mada yenyewe hebu acha kukaza fuvu, na hilo siyo tatizo ndio maana hata mods huunganisha nyuzi pale wapoona mada zinaelekeana

Mwanamke kulalamikia ndugu wa mumewe haina tofauti na mwanaume kulalamikia ndugu wa mkewe ndio maana nikauliza kwanini iwe tatizo kwa mwanamke kufanya hivyo ila iwe sawa kwa mwanaume, ukasema kwa sababu mwanaume ndiye mtafutaji nami nikakuambia hata mwanamke ndiye msimazi wa nyumba, kwahiyo kama mnaona ni haki kila mtu kulalamikia ndugu wa mwenzie basi hiyo haki iwe kwa wote

Hata kama sababu zao ni tofauti basi isionekane sababu moja ndio ina mashiko halafu nyingine inaonekana ya kijinga, maana hiyo sababu ambayo wewe unaona ya maana kwa mwingine inaweza ikawa ya kipumbavu na sababu unayoona ya kipumbavu kwa mwingine inaweza kuwa ya maana, sasa sijui ni kwa misingi gani utake sababu yako tu ndio ionekane ina mashiko ila ya wengine ionekane ya kijinga kisa tu haiendani na mitazamo yako

Sasa wewe ghafla ukaja na porojo zako za single mothers na feminists mara ukaanza kunitajia sifa zangu na kuongelea maisha yangu, kana kwamba unanijua na una uthibitisho haya niambie hayo yote yanahusiana nini na mada husika, mimi nimeshakuelezea namna hoja yangu inavyohusiana na mada maana naona uelewa wako mdogo na wewe elezea huo uhusiano uliopo hapo acha kuzuga

Hebu jibu hoja basi umesema single mothers ni tatizo la kidunia, ndio nataka uelezee ni kwa namna gani wao ni tatizo, huku wanaume waliowazalisha na kuwatelekeza siyo tatizo

Sawa we endelea kuwatafuta wagonjwa wenzako wenye matatizo ya kisaikolojia labda ukiona mko wengi ndio inakupa faraja ndio maana unalazimisha kila mtu awe na matatizo kama yako, ila nakushauri ungeanza kudeal na matatizo ya kisaikolojia waliyonayo misogynists wenzio kama kina Andrew Tate kabla ya kuhangaika na hao feminists kina Joyce Kiria, bado nasisitiza rudi kwenye mada haya mambo ya feminism yamekuzidi uwezo sababu hata maana tu ya feminism huijui

Watu aina yako Mimi ninashughulika nao na wanapona Kabisa.
Ukihitaji matibabu utaniambia, matibabu yangu hayana gharama ni bure Kabisa. Nimesaidia wengi.

Kuwa na mapungufu ya kimaumbile au Historia mbaya inayokufanya uwe na tatizo la kisaikolojia inatibika Kabisa.
 
Angekuwa ndugu yako sasa angekuwa ameshaondoka kwa mdomo wa mkeo
 
Watu aina yako Mimi ninashughulika nao na wanapona Kabisa.
Ukihitaji matibabu utaniambia, matibabu yangu hayana gharama ni bure Kabisa. Nimesaidia wengi.

Kuwa na mapungufu ya kimaumbile au Historia mbaya inayokufanya uwe na tatizo la kisaikolojia inatibika Kabisa.
Hata kama kweli ningekuwa na hilo tatizo la kuhitaji huo msaada basi sidhani kama wa kunisaidia ungekuwa ni wewe, maana unaonekana kama wewe ndio unahitaji msaada zaidi kuliko unavyodhani mimi nauhitaji, siku nyingine usirudie kuniquote na kunipotezea muda kama unajijua huna hoja
 
Nikupotezee Muda au wewe ndio huna Kazi ya kufanya?
Kipi kilikushinda kunipuuza kama ungekuwa unathamini Muda wako?

Alafu nikikuambia unaupeo mdogo au tatizo la kisaikolojia unaona kama nakuonea
 
Ni kwa sababu nilidhani utakuwa na hoja za msingi ndio maana niliendelea kukujibu maana mwanzo ulianza vizuri tu, unasema ningekupuuza halafu mkipuuzwa ndio mnaenda kujitapa huko kwenye nyuzi zingine kuwa fulani ukibishana naye akiona amezidiwa hoja anakimbia (ili uonekane una akili) kumbe mtu alikupuuza tu, halafu aliyekuambia kwamba kuingia jf ni kukosa kazi za kufanya ni nani au na wewe ni kati ya wale mnaohitaji kufanya biashara au kazi hadi overtime ndio hela ionekane..muda niliopoteza ni wa kusoma na kujibu posts nyingine za msingi huku jf badala yake nikawa nalazimika kuwajibu msio na hoja
 
Hawa wenzetu wapo vizuri sana katika kuanzisha balaa ila sio kumaliza. Anaweza kwenda kopa nje halafu kulipa anakusukumia wewe.
 
Ndugu alikuja kukaa nae likizo ya shule Ile yakumaliza shule ya miezi3 ...tumekaa nae miezi3 Sasa anatokea nyumbani kwangu nawazazi wake wote wapo hai Sasa mke unamuhoji ananuna anakwambia mbona mfanyakazi wandani ye anakaa kwanin ndugu yake wa damu asikae nabakia kumshamgaa tu
Kwakifupi mkeo hana busara anakuchonganisha na ndugu zake uonekane unawachukia kumbe una nia nzuri tu ya kulinda masilahi ya familia yako.
 
Back
Top Bottom