Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Umesema mke kàletà ndugu bila taarifà, Sasa watarudije wenyewe bila taarifà? Au una maanisha wamekuja wenyewe bila taarifà?
 
Ndugu alikuja kukaa nae likizo ya shule Ile yakumaliza shule ya miezi3 ...tumekaa nae miezi3 Sasa anatokea nyumbani kwangu nawazazi wake wote wapo hai Sasa mke unamuhoji ananuna anakwambia mbona mfanyakazi wandani ye anakaa kwanin ndugu yake wa damu asikae nabakia kumshamgaa tu
mfanyakazi anakaa sababu kaajiriwa otherwise asingekaa...
 
Huyo mke hathamini ndoa yake kwake wa muhimu ni ndugu lazima atachochea vineno tena wa kike na pengine ni single kama ameolewa hawezi kukaa muda mrefu. Hapo mtagombana na mkeo tu Ndoa iko rehani na majaribuni kwa huyo mgeni wa miezi. Achana na huyo mkeo aendelee na hao mashoga zake.
 
Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Uchoyo unakusumbua. Hawa jamaa wakikaa kwako wiki si utakimbia Nyumba. Hao wageni wanapunguza nini kwani.
 
Back
Top Bottom