Mke kumheshimu zaidi Mchungaji kuliko mume; ni ushindi mwingine wa Kataa Ndoa

Mke kumheshimu zaidi Mchungaji kuliko mume; ni ushindi mwingine wa Kataa Ndoa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina...

Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga.
Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri ule ule uliompa nyumbani atapewa na baba mchungaji kwa upole. Lakini kwako aliufyonza.

HT: Kataa Ndoa 3- Ndoa wana on target 3
 
Na huyo mchungaji ajidulu kumuoa huyo mwanamke ndio ataelewa zile amen zilikuwa ni trick

Anachokiona mchungaji saizi, ndio alichokiona jamaa wakati anafikiria kumuoa huyu mwanamke.

A woman can catch feelings for the man who made her laugh for 5 minutes and forget the man who tolerated her moods for years.

Toxing Revelation
 
Back
Top Bottom