malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
- Thread starter
-
- #41
Mkuu huko kunaniumiza kichwa Sana nadeal nako kutatua changamoto hiyoMkuu deal na huku kwanza utatue, wanawake wana mambo mengiNinamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja
Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu...www.jamiiforums.com
Kumbe huu ujinga umeuanza wewe,utamruhusu vipi mke wako akashinde kwao halafu jioni arudi kwako?Nilimruhusu kwenda shinda kwao kwa maana yakwamba asubuh nimetoka nimekula full ntakula usiku home so maana yake ye aje awahi jioni apike chakula Cha jioni chakula mumewe Sasa kwa akili zake ndio kaja nachakula badala yakuwahi kuja pika
Hizi ni akili za Wavulana na si Mwanaume anaejitambua kiakili na maamuzi.Kama unamwamini mke wako ni sawa
Kuna vitu bro potezea wanawake karibu wote wana tabia hizo
Akienda kwenye sherehe km inamuhusu lazima arudi mara na cake mara na kuku,vinywaji.
Itoshe kusema ni tabia za kike zisizo na madhara sana kwenye mahusiano.
Au mama yake mchawi unaogopa limbwata???
Hakuna ujinga kama huo.Mkuu,inawezakana akienda kwao yeye ndo anapika.
Sasa ameona afanye kazi iwe rahisi,anapika chakula kingi ili kingine aje nacho nyumbani mle.
Hapo sijaona shida yoyote,mbona nikitu kidogo sana,hebu muhurumie kidogo mkeo
Kumbe ni x2 tu!!? Vip ulishawai kumwambia kuwa upendi hio tabia?Watoto 2 hawako wako shule so anamtoto wa mgongoni tu kwasasa..amepata tatizo lamsiba kwao ndani ya hizi wiki tatu Sasa huwa anakwenda kuwajulia Hali nakushinda huko ktkt kipindi hiki Sasa ndio Mara mbili kaja nachakula kilichopikwa huko kwao kuja nacho jion SAA kumi namoja
Yani hili ni gubu live[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mna watoto watatu na hujawahi ona hivi, inamaana ni suala la muda matatizo yakiisha atarudi kwenye hali yake, sometimes wanaume mtuoneage huruma tunachokaga na kazi plus kuleaAcha gubu na wewe mara mbili tu kimbuka anamtoto mgongoni unafikiri yeye hachoki basi mwambie wewe kwa siku hizi utakuwa unapika wewe
Hizi ni akili za Wavulana na si Mwanaume anaejitambua kiakili na maamuzi.
Labda ilikua upweke jamani . Dah!Kuna jamaa yangu mmoja ana mke na watoto 2. Jamaa anafanya kazi Mashirika ya U.N so mara nyingi anasafiri mikoani kwa ukaguzi wa miradi. Nyumbani kwa jamaa na kwa wakwe zake ni umbali wa dakika 20 kwa Dala Dala. Sasa jamaa anaposafiri tuu huku nyuma mke anabeba watoto anaenda kukaa nyumbani kwako bila taarifa kwa jamaa.
Hiyo hali iliendelea zaidi ya miaka 3 bila jamaa kujua. Kuna siku jamaa alikuwa Bar fulani maeneo ya karibu na kwa wakwe akakutana na mshkaji wake wa kitambo ambao hawajaonana muda mrefu na ambae pia ni jirani kwa wakwe zake,baada ya salamu jamaa akamuuliza mshkaji vipi mnamgogoro na shemeji? Jamaa akasema hapana,kwanini, jamaa akamwambia mbona namuona kama karudi kwao muda mrefu namuona pale hata Dada zake wengine waliolewa wamerudi. Jamaa akazuga pale kujibu lakini akilini akishangaa hizi taarifa.
Baadae jamaa akafanya uchunguzi na kubaini ni kweli mke wake anatokaga akisafiri,akamuweka chini akamwambia mke akakiri na kusema hatarudia tena. Lakini jamaa akiondoka mke anarudia tena mchezo wake. Jamaa aliponiambia kuomba ushauri nikamwambia cha kufanya wewe zusha safari ya uongo then urudi ghafla,kweli akafanya hivyo akarudi usiku akakuta nyumba imefungwa,nikamwambia sasa asubuhi nenda kwao ukamwambie mbele ya wazazi wake aendelee kukaa hapo mpaka atakapomwambia arudi yeye. Kweli mke alikaa kwao miezi mitatu,kila jamaa akiombwa msamaha kakaza,hadi leo mke akili zimemkaa.
Hata kama ni upweke..ndiyo mke arudi kwao kila mume akisafiri mikoani tena bila ya kutoa taarifa?Labda ilikua upweke jamani . Dah!
Ingeku anaenda kwa mchepuko hapo sawa.
Akitoa taarifa si mnagoma nyie? Au muanze kufikiria vitu vingineHata kama ni upweke..ndiyo mke arudi kwao kila mume akisafiri mikoani tena bila ya kutoa taarifa?