Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hapo kuna kitu hakiko sawa kwaiyo wewe na watoto wote mnakula chakula kutoka kwa wakwe so sad yaani anadhamini kwao kuliko kwake kweli umepata mke vipi inakuwaje ukiwa unataka chakula unachopenda wewe maana obvious kwao kinapikwa Cha wengi au uchumi kwako umeyumba fungukaNimemuoa kwa ndoa tunamiaka7 ya ndoa
Mkuu nakua napata shida naona itajenga tabia ya hivi akienda kwao kwatatizo nakushida huko basi atakua anafanya hivo maana hii nimara ya pili ndani ya wiki mbiliMkuu,inawezakana akienda kwao yeye ndo anapika.
Sasa ameona afanye kazi iwe rahisi,anapika chakula kingi ili kingine aje nacho nyumbani mle.
Hapo sijaona shida yoyote,mbona nikitu kidogo sana,hebu muhurumie kidogo mkeo
Watoto 2 hawako wako shule so anamtoto wa mgongoni tu kwasasa..amepata tatizo lamsiba kwao ndani ya hizi wiki tatu Sasa huwa anakwenda kuwajulia Hali nakushinda huko ktkt kipindi hiki Sasa ndio Mara mbili kaja nachakula kilichopikwa huko kwao kuja nacho jion SAA kumi namojaBasi hapo kuna kitu hakiko sawa kwaiyo wewe na watoto wote mnakula chakula kutoka kwa wakwe so sad yaani anadhamini kwao kuliko kwake kweli umepata mke vipi inakuwaje ukiwa unataka chakula unachopenda wewe maana obvious kwao kinapikwa Cha wengi au uchumi kwako umeyumba funguka
Sasa mkuu,umesema ameanza kwenda kwao baada ya kumruhusu kutokana na matatizo...means hiyo ishu ikiisha atarudi kuwa normal.Mkuu nakua napata shida naona itajenga tabia ya hivi akienda kwao kwatatizo nakushida huko basi atakua anafanya hivo maana hii nimara ya pili ndani ya wiki mbili
Basi bora uwe unamfiata huko unapiga msosi mnarudi kwenu maana sipati picha msosi umepikwa saa kumi na moja jioni alafu wewe umerudi saa tatu usiku unakua unakula kiporo kutoka ukweni 🤣🤣🤣Watoto 2 hawako wako shule so anamtoto wa mgongoni tu kwasasa..amepata tatizo lamsiba kwao ndani ya hizi wiki tatu Sasa huwa anakwenda kuwajulia Hali nakushinda huko ktkt kipindi hiki Sasa ndio Mara mbili kaja nachakula kilichopikwa huko kwao kuja nacho jion SAA kumi namoja
Mkuu vumilia mambo ya kikaa sawa atapika kwani kabla si alikuwa anapika nyumbani kwenu mbona unapenda kujipa mawazo yasiyokuwa na kichwa wala miguutunapoishi Sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivo huwenda kuwaona
Acha ulofa, mke wako anakusaidia kwenye bajeti ya chakula we unajiona mjuaji haya pambana na hali yako.Wakuu Kama kichwa Cha habar kilivo eleza hapo juu.....mke wangu kwao nimitaa Kama 20 toka tunapoishi Sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivo huwenda kuwaona nakushinda kwao Hadi jioni saa kumina moja Sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaan hapiki Tena huja nacho icho ili namume ale hicho hicho.......
je nisawa mume kula hicho chakula kilicholetwa namkewe toka kwao badala mke yakuwahi kurudi kwake kupika ye hujanahicho chakula alichokupika kwao ili wale namumewe
Acha gubu na wewe mara mbili tu kimbuka anamtoto mgongoni unafikiri yeye hachoki basi mwambie wewe kwa siku hizi utakuwa unapika weweWatoto 2 hawako wako shule so anamtoto wa mgongoni tu kwasasa..amepata tatizo lamsiba kwao ndani ya hizi wiki tatu Sasa huwa anakwenda kuwajulia Hali nakushinda huko ktkt kipindi hiki Sasa ndio Mara mbili kaja nachakula kilichopikwa huko kwao kuja nacho jion SAA kumi namoja
umeshasema kwao kuna tatizo linalomfanya ashinde kwao. Ukioa wazazi wa mkeo ni wazazi wako na wazazi wako wanakuwa wazazi wa mkeo.Wakuu Kama kichwa Cha habar kilivo eleza hapo juu.....mke wangu kwao nimitaa Kama 20 toka tunapoishi Sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivo huwenda kuwaona nakushinda kwao Hadi jioni saa kumina moja Sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaan hapiki Tena huja nacho icho ili namume ale hicho hicho.......
je nisawa mume kula hicho chakula kilicholetwa namkewe toka kwao badala mke yakuwahi kurudi kwake kupika ye hujanahicho chakula alichokupika kwao ili wale namumewe
ushaambiwa kuna tatizo na inavyoonekana kamruhusuMwanamke mwenye akili timamu kabisa Ame kamili a kichwani hawezi fanya huo upuuzi kabisa.
Yani ushinde kwenu siku nzima..hapana kwakweli
Kwakweli mume wangu nitampikia vinono afe Beki au kipa..nakaanga kitunguu napiga game mara vitunguu sijui vimeungua vikapanda Vikashuka huko mimi huku napiga game.alisikika mtu mmoja akinena kwa lugha
Sasa kama kamruhusu anapata wasiwasi wa nini.na kama anapata wasiwasi ameshindwa nini kumwambia mke wake arudi nyumbani saa tisa ili apate kumuandalia chakula yeye kama mume ili hali ameona mke wake kashindwa kujiongeza!ushaambiwa kuna tatizo na inavyoonekana kamruhusu
Mtafutie kitu cha kufanya.we unaona mkeo kwenda kushinda kwao kila siku ni Sawa!Nilimruhusu kwenda shinda kwao kwa maana yakwamba asubuh nimetoka nimekula full ntakula usiku home so maana yake ye aje awahi jioni apike chakula Cha jioni chakula mumewe Sasa kwa akili zake ndio kaja nachakula badala yakuwahi kuja pika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke mwenye akili timamu kabisa Ame kamili a kichwani hawezi fanya huo upuuzi kabisa.
Yani ushinde kwenu siku nzima..hapana kwakweli
Kwakweli mume wangu nitampikia vinono afe Beki au kipa..nakaanga kitunguu napiga game mara vitunguu sijui vimeungua vikapanda Vikashuka huko mimi huku napiga game.alisikika mtu mmoja akinena kwa lugha