Mke kwenda kushinda kwao hadi jioni na kurudi na chakula kilichopikwa ukweni, nisawa mume kula hicho chakula?

Mkuu,inawezakana akienda kwao yeye ndo anapika.

Sasa ameona afanye kazi iwe rahisi,anapika chakula kingi ili kingine aje nacho nyumbani mle.

Hapo sijaona shida yoyote,mbona nikitu kidogo sana,hebu muhurumie kidogo mkeo
 
Nimemuoa kwa ndoa tunamiaka7 ya ndoa
Basi hapo kuna kitu hakiko sawa kwaiyo wewe na watoto wote mnakula chakula kutoka kwa wakwe so sad yaani anadhamini kwao kuliko kwake kweli umepata mke vipi inakuwaje ukiwa unataka chakula unachopenda wewe maana obvious kwao kinapikwa Cha wengi au uchumi kwako umeyumba funguka
 
Mkuu,inawezakana akienda kwao yeye ndo anapika.

Sasa ameona afanye kazi iwe rahisi,anapika chakula kingi ili kingine aje nacho nyumbani mle.

Hapo sijaona shida yoyote,mbona nikitu kidogo sana,hebu muhurumie kidogo mkeo
Mkuu nakua napata shida naona itajenga tabia ya hivi akienda kwao kwatatizo nakushida huko basi atakua anafanya hivo maana hii nimara ya pili ndani ya wiki mbili
 
Basi hapo kuna kitu hakiko sawa kwaiyo wewe na watoto wote mnakula chakula kutoka kwa wakwe so sad yaani anadhamini kwao kuliko kwake kweli umepata mke vipi inakuwaje ukiwa unataka chakula unachopenda wewe maana obvious kwao kinapikwa Cha wengi au uchumi kwako umeyumba funguka
Watoto 2 hawako wako shule so anamtoto wa mgongoni tu kwasasa..amepata tatizo lamsiba kwao ndani ya hizi wiki tatu Sasa huwa anakwenda kuwajulia Hali nakushinda huko ktkt kipindi hiki Sasa ndio Mara mbili kaja nachakula kilichopikwa huko kwao kuja nacho jion SAA kumi namoja
 
Mkuu nakua napata shida naona itajenga tabia ya hivi akienda kwao kwatatizo nakushida huko basi atakua anafanya hivo maana hii nimara ya pili ndani ya wiki mbili
Sasa mkuu,umesema ameanza kwenda kwao baada ya kumruhusu kutokana na matatizo...means hiyo ishu ikiisha atarudi kuwa normal.

Vumilia hiyo shida ikiisha,atakuwa kama mwanzo..usicomplicate mambo..
 
Watoto 2 hawako wako shule so anamtoto wa mgongoni tu kwasasa..amepata tatizo lamsiba kwao ndani ya hizi wiki tatu Sasa huwa anakwenda kuwajulia Hali nakushinda huko ktkt kipindi hiki Sasa ndio Mara mbili kaja nachakula kilichopikwa huko kwao kuja nacho jion SAA kumi namoja
Basi bora uwe unamfiata huko unapiga msosi mnarudi kwenu maana sipati picha msosi umepikwa saa kumi na moja jioni alafu wewe umerudi saa tatu usiku unakua unakula kiporo kutoka ukweni 🤣🤣🤣
 
Wakuu Kama kichwa Cha habar kilivo eleza hapo juu.....mke wangu kwao nimitaa Kama 20 toka tunapoishi Sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivo huwenda kuwaona nakushinda kwao Hadi jioni saa kumina moja Sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaan hapiki Tena huja nacho icho ili namume ale hicho hicho.......
je nisawa mume kula hicho chakula kilicholetwa namkewe toka kwao badala mke yakuwahi kurudi kwake kupika ye hujanahicho chakula alichokupika kwao ili wale namumewe
Acha ulofa, mke wako anakusaidia kwenye bajeti ya chakula we unajiona mjuaji haya pambana na hali yako.
 
Watoto 2 hawako wako shule so anamtoto wa mgongoni tu kwasasa..amepata tatizo lamsiba kwao ndani ya hizi wiki tatu Sasa huwa anakwenda kuwajulia Hali nakushinda huko ktkt kipindi hiki Sasa ndio Mara mbili kaja nachakula kilichopikwa huko kwao kuja nacho jion SAA kumi namoja
Acha gubu na wewe mara mbili tu kimbuka anamtoto mgongoni unafikiri yeye hachoki basi mwambie wewe kwa siku hizi utakuwa unapika wewe
 
Kama ni kipindi cha matatizo hakuna shida,jaribu kupima ukubwa wa tatizo lililopo
 
Suala dogo kama hilo nalo linakushinda kweli kulitolea uamuzi mkuuu, ila inategemeana na malezi ila siyo vizuri kiuhalisia inatakiwa apike kwako nyumbani, ila kama kuna matatizo Kwa sasa mpe muda
 
Kama unapokaaz umepanga hama hapo uwe mbali na kwao,lkn pia uatakiwa umwambie ctaki hiki sio kuja kulalamia huku kabla huamkanya mkeo
 
Wakuu Kama kichwa Cha habar kilivo eleza hapo juu.....mke wangu kwao nimitaa Kama 20 toka tunapoishi Sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivo huwenda kuwaona nakushinda kwao Hadi jioni saa kumina moja Sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaan hapiki Tena huja nacho icho ili namume ale hicho hicho.......
je nisawa mume kula hicho chakula kilicholetwa namkewe toka kwao badala mke yakuwahi kurudi kwake kupika ye hujanahicho chakula alichokupika kwao ili wale namumewe
umeshasema kwao kuna tatizo linalomfanya ashinde kwao. Ukioa wazazi wa mkeo ni wazazi wako na wazazi wako wanakuwa wazazi wa mkeo.
Sioni ubaya kama kuna tatizo linalomfanya ashinde kwao maadam umemruhusu kufanya hivyo.

Wewe ungekuwa mimi bajeti ya kupika nyumbani ningeihamishia kwao ili nichangie kodi ya meza na kama wazazi wake hawataki nifanye hivyo ningekuwa napitia sokoni na kuleta nilichonunua kama mchele ngano sukari mafuta na mboga

Hebu tuweni wanaume sasa
 
Mwanamke mwenye akili timamu kabisa Ame kamili a kichwani hawezi fanya huo upuuzi kabisa.
Yani ushinde kwenu siku nzima..hapana kwakweli
Kwakweli mume wangu nitampikia vinono afe Beki au kipa..nakaanga kitunguu napiga game mara vitunguu sijui vimeungua vikapanda Vikashuka huko mimi huku napiga game.alisikika mtu mmoja akinena kwa lugha
ushaambiwa kuna tatizo na inavyoonekana kamruhusu
 
Sasa kama kamruhusu anapata wasiwasi wa nini.na kama anapata wasiwasi ameshindwa nini kumwambia mke wake arudi nyumbani saa tisa ili apate kumuandalia chakula yeye kama mume ili hali ameona mke wake kashindwa kujiongeza!

Kutokujua nafasi tu.kama mume hutakiwi kuruhusu mazoea ya kipuuzi.nenda kwenu kusali mie sijui kauguze muda wa kurudi nyumbani rudisha milonjo nyumbani kamwandalie mumeo fullstop
 
Nilimruhusu kwenda shinda kwao kwa maana yakwamba asubuh nimetoka nimekula full ntakula usiku home so maana yake ye aje awahi jioni apike chakula Cha jioni chakula mumewe Sasa kwa akili zake ndio kaja nachakula badala yakuwahi kuja pika
Mtafutie kitu cha kufanya.we unaona mkeo kwenda kushinda kwao kila siku ni Sawa!
Na tayari umeona hajajiongeza kuwahi kukuandalia chakula wewe mume wake si umwambie ikifika saa tisa au saa kumi rudisha ngongoti zako nyumbani unipikie chakula!!!.

Kuna mambo mengine ya kumwambia mtu si mpka uutese moyo wako namna hiyo kwa wasiwasi.ukikaa kimya yeye ni mfalme njozi ataota ama!!!
 
Mwanamke mwenye akili timamu kabisa Ame kamili a kichwani hawezi fanya huo upuuzi kabisa.
Yani ushinde kwenu siku nzima..hapana kwakweli
Kwakweli mume wangu nitampikia vinono afe Beki au kipa..nakaanga kitunguu napiga game mara vitunguu sijui vimeungua vikapanda Vikashuka huko mimi huku napiga game.alisikika mtu mmoja akinena kwa lugha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom