Mke mjamzito, nataka kukata bima NHIF ushauri

Ooh asante kwa wazo zuri
 
But haitacover huduma za kujifungua kawaida hata operation
 
Acha kumpotosha.

Mtoto under 5 atatibiwa bure lakini siyo kwa kila ugonjwa na kila kipimo.
 
Haupo sahihi kwa 100% ila unaandika kwa confidence mno.

Mfano Mtoto wa Dr Gwajima akijifungua mtoto kisha mtoto akaumwa, akampeleka hospitali huyu mtoto anafaa kuingizwa kundi la msamaha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…