Mke mtarajiwa wa kaka hatujamuelewa kabisa

Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyo tambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Kiufupi familia yenu mna kasumba ya kuingilia mambo ya watu.

Haya mchagulieni mke basi
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyo tambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Kikwetu hiyo inaitwa Kaangukiwa na Nyumba. Kwamba wifi hakubaliki na babamkwe, mamamkwe na nduguze brother, lakini brother kakaza shingo.
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Weka picha yao wakiwa pamoja wahuni tuitathmini
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Bro kachagua mama bora wa watoto wake na si kwa ajili ya tamaa ya mwili wake.
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Kama kweli bi Mkubwa wako ni mtu wa kiroho, basi mwambie akemee ili vifungo alivyofungwa kaka yako vifunguliwe, awe huru.

Kinyume na hapo, acheni uchonganishi
 
Ndo maana ukatazwa kufanya ngono kabla ya ndoa lengo kuu ni kuepuka huo upofu ndio umepelekea talaka kwa wengi baada ya upofu kuisha na kupelekea watoto kuharibika kisaikolojia.
Siku zote watu wa pembeni kabla ya kuoa Huwa wapo sahihi.
 
Back
Top Bottom