Mke mtarajiwa wa kaka hatujamuelewa kabisa

Mke mtarajiwa wa kaka hatujamuelewa kabisa

Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Huo ubovu ni upi, yeye ndo mwenye kuoa na ndo anajua yaliyomo
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
KWanini usimpatie bro wako demu wako ili ndiyo akamtambulishe?
 
Mkuu,
Wanawake unaowaona wabovu wa muonekano ni watamu, huyo bro wako we muache tu abebe mke wake. Huwezi jua kipapa kinampa furaha kiasi gani.
 
Familia ya wazuri na maringo yao, Dada wa watu ana kazi kuolewa hapa. Mawifi na wakwe walivyo wazuri, shemeji sasa ndo huyu, mzuriiii.
 
Mke(mwanamke wa kuoa) ni zaidi ya uzuri wa uso na umbo.. kila mtu ana kipaumbele chake, huenda kaka yako kuna vya msingi katizama, je unajua anayopewa wakiwa wawili?

Je umejaribu kumuuliza kaka pamoja na kuzunguka koote, why umeamua kumuoa huyu, nataka nijifunze jambo

tulia mzee, imani za kishirikina msiziendekeze.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoa mada kimbia sio kwa spana hizi
Kwa hiyo sie wabovu hatuna haki ya kupenda/kupendwa??
Nyie wenzetu mmejiumba ama??
[emoji706][emoji706]
Mkuu,
Wanaoitwa wabovu wapo vizuri katika maeneo mengi ya maisha. Kwenye ndoa uzuri wa sura ni added factor, ila la msingi ni utii, heshima, uvumilivu na juu ya yote mbususu iwe tamu...

Hata hivyo mbele za Mungu hakuna mbovu, wote tuko sawa.
 
Ebu naomba namba ya huyo sister yako maana akiendelea kukaa hapo nyumbani atawachagulia wachumba mwishoni hamtaoa kabisa.
 
Mdogowangu mwanamke nizaid ya Uzuri Wewe hujakua ukikikuwa utaelewa muda bado
 
Habari,

Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
anafinyiwa kwa ndani...! mtasubiri sana
 
Tatizo umeandika kama huyo shem wako uko nae hapo mezani unakuywa chai kwa huyo bro wako.
Andika vizuri wataalamu wa mbinu wakupe njia za kumnasua
 
Back
Top Bottom