Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Swali la muhimu ni kaka yake mleta mada ana muonekano mzuri,ama pesa ipoKuna wanaume hawapendi complications wakati wa kutongoza na wakati wa mahusiano, wanaamini mwanamke mwenye sura na shepu mbaya ni rahisi kumpata..yani mtu anaona mademu wenye sura mbaya ndo class yake..
Utakuta bro wa mtoa mada hajalogwa, kaona mademu wazuri sio class yake, hataki stress kwenye mahusiano Nyamwage Joanah