Mke mtarajiwa wa kaka hatujamuelewa kabisa

Kiufupi familia yenu mna kasumba ya kuingilia mambo ya watu.

Haya mchagulieni mke basi
 
Kikwetu hiyo inaitwa Kaangukiwa na Nyumba. Kwamba wifi hakubaliki na babamkwe, mamamkwe na nduguze brother, lakini brother kakaza shingo.
 
Weka picha yao wakiwa pamoja wahuni tuitathmini
 
Bro kachagua mama bora wa watoto wake na si kwa ajili ya tamaa ya mwili wake.
 
Kama kweli bi Mkubwa wako ni mtu wa kiroho, basi mwambie akemee ili vifungo alivyofungwa kaka yako vifunguliwe, awe huru.

Kinyume na hapo, acheni uchonganishi
 
Ndo maana ukatazwa kufanya ngono kabla ya ndoa lengo kuu ni kuepuka huo upofu ndio umepelekea talaka kwa wengi baada ya upofu kuisha na kupelekea watoto kuharibika kisaikolojia.
Siku zote watu wa pembeni kabla ya kuoa Huwa wapo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…