Huo ubovu ni upi, yeye ndo mwenye kuoa na ndo anajua yaliyomoHabari,
Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
KWanini usimpatie bro wako demu wako ili ndiyo akamtambulishe?Habari,
Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Hiyo familia wana matatizo wanamkataaje mtu wakidai ni mbovu?? labda kuwe na sababu nyingine yenye mashiko.Yupo gizani ataelewa yakimkuta,heshimu sana watu wa kiroho.
Mkuu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoa mada kimbia sio kwa spana hizi
Kwa hiyo sie wabovu hatuna haki ya kupenda/kupendwa??
Nyie wenzetu mmejiumba ama??
[emoji706][emoji706]
MamboBro hataki kesi nyingi za kugongewa
😂😂Nyie mnauzuri gani kwani? Mnanyea mawinguni?
anafinyiwa kwa ndani...! mtasubiri sanaHabari,
Hata kama wanasema love is blind lakini hapa bro nahisi sio akili yake kwa ninavyomjua mimi nahisi kabisa ni juju limetumika hata bi mkubwa nae alivyotambulishwa niliona kabisa hajaridhika sababu bimkubwa ni mtu wa kiroho sana hata sister nae hivyo hivyo wanasema hawaendani lakini bro humwambii kitu sijui kapewa nini masikini.
Wana macho ya kuonaHiyo familia wana matatizo wanamkataaje mtu wakidai ni mbovu?? labda kuwe na sababu nyingine yenye mashiko.